Hizi ndala zimekaa kishabiki mno, what if majority hawampendi yy halaf kawek picha yake unadhan watanunua?? , ndo kama Yale ya jide kuweka nembo ya jina lake kwenye maji ,muulize yaliyomkut, halaf nilisikia baby madaha nae katengeneza perfume na mifuko inaitwa candy cjui naona had Leo sijawah kusikia au kuona mtu kanunua , zile nywele alijitahidi kidogo kuziita kidoti, japokuwa sina uhakika kama zinafanya vizur sokoni, kibongo hii ya kuweka jina la msanii kwenye product bado haiko poa, watengenez tu mashati ya team zao mashabiki wao tutanunua, hizo products nyingine waweke tu majina mengine , tatizo mastaa wetu show off nyingi kila kitu wanatak wajulikane wametengeneza wao au ni Mali zao, waone mfano wa mengi na bakhresa , sijaona TV station yeyote ya mengi kaweka jina lake au bakhresa kuweka jina lake kwenye juice au maandazi yake , mpaka Leo kuna baadhi hawajui kama mengi ndiye mmliki wa TV stations tofauti apa nchini , na kuna wengine hata bakhresa hawamjui kwa sura, wengi hawajui marketing strategies especially ukiwa star.
Na sisi wabongo Tuache roho mbaya , yaani tukishaona msanii anapiga hatua tu kosa , wengine hawawez kununua kwa kuwa tu ni Fulani. Wanajua ukishanunua atafaidi sana Sijui yaan fitna tu.