Jokate, seriously?

Juma nature nae anamradi kama huu,sijui yeye logo kaiweka vipi?
 
hapo wasiwasi wangu ni kwa wale masela wangu kwa yale mambo yetu ya bafuni si unajua sura hiyo tosha kabisa
 
Mtaponda wakati wenzenu wana make money! wa-TZ tuache majungu na roho mbaya.Tunawasifia watu maarufu wa nje ya bongo kuwa wana fedha,nao walianza kama hao wa kwetu. Cha msingi tuwatie moyo ili wafanikiwe ili waajiri ndugu na jamaa zetu ambao hawana ajira.
 
Endapo akifanikiwa lazima Watanzania 100% ndio watakaonufaika na ajira,sasa ubaya uko wapi? Cha msingi apewe ushauri wa kujenga na siyo wa kumkatisha tamaa. Tuache roho mbaya,wengine hata kuanzisha genge mnashindwa lakini humu jf kazi yenu ni kukejeli tu.Basi mfanye vya kwenu tuvione.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…