Jokate Vs Ali Kiba Breakup. Sitakiiii kabisaaaa bwana kama Kiba, tena anipitie kushoto

Jokate Vs Ali Kiba Breakup. Sitakiiii kabisaaaa bwana kama Kiba, tena anipitie kushoto

Ahsante Niffah wangu....yaani ingekuwa amri yangu humu ndani ningeomba Jojo aachwe
My dear,Jojo ni star...hakuna namna anaweza kuacha kusemwa.
Izoee hii hali,vinginevyo utaumia tu.
 
kiba kalelewa kimaadili.komaa kaka kiba
Maadili gani unayoyazungumzia mkuu, mtu aliyelelewa kimaadili hawezi kuzaa nje ya ndoa tena watoto wanne wote wakiwa na mama tofauti,haya sio maadili hasa kwa mtoto wa kiislamu kama kiba na wengine kama yeye...!
 
Kumbe kbakuli kala ¤ ya ggy??
Kama kb ni team mende bac hata huyo
Kdot lazma atakua ka zibuliwa
 
Nafikiri Kiba yuko sahihi Hawa watoto WA mjini sijui jokate sijui wema ni WA kuzibua tu chemba haraf muda ukifika unasepa hawana issue wala sio WA kujitia ufundi WA kuwapenda,Hawa wakat wanakupa wewe papuchi wakat huohuo macho Yao yanaangaza angaza wenye fuba nene wakiitwa wanaenda wanatoa uchi Kwa siri wanavuta fuba harafu kwenye insta wanaendelea kukupostpost wewe,Kiba mtoto WA kariakoo mjanja kitambo anawajua vizur ndio Hana time anawababua kimyakimya na Hana muda WA kuwanunulia magar Malaya WA kupita,umuonyeshe mahaba Jojo ili iwe nn na mtu kakalia mihogo kibao hapo alipo utamfanyia lipi jipya?Dai Kwa upande mwingine ni mtu anayeishi maisha aliyokuwa anayaota siku nyingi,kutokana na kuzinguliwa na mademu Kwa sababu ya muonekano na ukapuku alikuwa akitamani akifanikiwa awachape watoto wakaliwakali na ndio maana akiwapata anajitahidi kuwahandlehandle hv,Kiba kitambo hizi mambo sababu ya uhandsome wake na ili atengeneze mazingira ya kuwatafuna zaidi Kwa wingi huwa anapenda kuchapa kimyakimya ndio maana unaweza ukadhan Dai kachapa weng sababu yuko waz Lakin trust me Kiba kachapa wengi Sana ila msiri
Mkuu kuna jamaa mmoja hapa mtaani ni muuza sembe hatari na ana majengo kibao na magari hatari sema saizi anaishi kwa machale

Nakumbuka alimpa huyo jokate gari Fulani hivi kali mno azurure nayo auze sura mpaka jioni airudishe na sijui alipata senti chache akazibuliwa akasepeshwa

Alichofanya kiba ni kama mwanaume yeyote yule anapaswa kufanya hawa vicheche una wala ukishamaliza haja zako unawafanya kama vile tissue unawatupa..jokate sijui wema ni wastarehe tu lakini sio wa kuoa

Yani kiba amuoe muuza papuchi ase ningemshusha sana
 
Sahihi kabisa,huyu aliyeanzisha uzi kulalamika nae ndio walewale ndio maana analalamika.
 
Hawa wasanii wamemtia gundu JoJo ka karogwa vile. Jojo enzi za Chuo alikuwa classy namshangaa sikuhizi
Alikuwa classy kwenu wanafunzi msio na kitu njaa tupu mnasubiria boom ndio angalau mjitutumue,wenye pesa walikuwa wanampakata kama Kawa na maprof na wahazili
 
Huu uzi umenifanya nimuheshimu sana Kiba ,mimi napenda muziki wa Dimo zaidi ingawa sio mfuatiliaji kivile so sina timu lakini kwa ulivyosema safi sana Kiba anaishi poa sana.Ukiwa mtu wa kujionyesha onyesha tu kila sehemu upo mara umpost insta sijui nini mi naona ni ulimbukeni tu so chalii anavyofanya hivyo ni vizuri sana kwa hili respect to you Kiba.
 
Kiba anaonekana tu kua ni mbinafsi!!!
Ila jojo nae!! Ivi mapenzi ya hivi bado yapo?
 
Back
Top Bottom