Jokate Vs Ali Kiba Breakup. Sitakiiii kabisaaaa bwana kama Kiba, tena anipitie kushoto

Jokate Vs Ali Kiba Breakup. Sitakiiii kabisaaaa bwana kama Kiba, tena anipitie kushoto

kiba ni play boy tu....kazalisha wasichana zaidi ya watatu na kuwatosa ina wote wanamakosa?
dai ametembea na wanawake wengi lkn inaonekana anajua matumizi ya kinga na ndio maana kazaa na mmoja tu tena anatunza familia yake vizuri tu.
 
samahani... mi hapo ambapo madam ritha alimuweka ndani akawa anajipakulia tu ndo nimepaelewa sana .dogo alifaidi saana shenzi ..yani hii ndoto nimekua naiwaza saana.. lakin kabla sijalala jumla. lazima namimi nikalowanishe mishipa pale kwa madam.
Madame wala sio mchoyo kwa viserengeti boys. Akikuelewa anakulea vizuri tu
 
Inaokena huyo JoJo hana mji! Haiwezekani wanaume wanamgonga tu na kusepa bila kutangaza nia. Na uzuri wote ule!?
 
Inaokena huyo JoJo hana mji! Haiwezekani wanaume wanamgonga tu na kusepa bila kutangaza nia. Na uzuri wote ule!?
Hahaa
Subil apate anetaka kuendeleza like Kigambon utafurah..muda wake bado
 
Bwana apewe sifa.

Jokate mimi binafsi namfahamuuu tulisoma kipindi kimoja. Hatukupishana sanaa miaka. Kwa wale mnaosema i am above 30 Mungu anawaona. Ila sooner or later ill be above 30 anyway na wote ndo tunaelekea huko. Jokate is 28, 29 au 30 kamil kwa kuangalia duru za miaka aliosoma.

Jokate is my role model, na Wema, na Kylyn. Why specifically ni watu wajanja wajanja mjini, kama mimi wanapenda mambo mazuri afu hawataki kifanya kazi. Just like me, they love success, living larger than life, making history ila they are not ready to toil for the sucess. Hawaishi kwa katibaaaa za ma bibi. Kwamba maisha na kuajiriwa NSSF, Kulipwa vilaki hivo na kuzeeka. They break the rules.

Jojo is not a good business lady but is ambitious. Kwa capital aliopewa na wachina, alitakiwa awe next only to Bakhresa, GSM, METL na Manji. Tatizo hakuanza ku hustle chini, ana bahati na maisha akipata wazo anapata fundings.

Mchango wa Jojo kwa kiba ni mkubwa sanaaaa, tena sanaa. Jojo is dream of many men hapa Tz. Watu kibao wanataka kumuoa Jojo leo kesho. Ila Jojo anapenda bad boys kama Dimond, Hasheem, Kiba. Wote watoto wa kitaaa, hustlers. Sasa hawa angetuachia sisi dada zao ndo tunawamudu wa uswazi wenzao.

Jojo kaanza na Kiba hata hana comeback ya kuelewekaaa. Ndo katoka kufungwa na madam Rita zaidi ya miaka sijui 4, haimbi, haingii studio, hafanyi show analelewa tu. Ndo maana madam sahivi team Mond, bado analilia penzi la Kiba.

Wengi tulisema Jojo ame downgrade, come on Kibaaaa! Mtoto wa Kariakooo. Nakumbuka mimi nilichamba ofisi nzima kuwa Jojo anayachezea maishaaa. Sasa Kiba ana nini, mwenye bahati habahatiki. Lakini her love was genuine. She was supportive of him always. Alijitoa akili. Hata kina Gigy mitako wakisema wameliwa ndogo na Kiba, she was still with him.

Kiba doesnt know how to treat his women. No wonder baby mamas wake wanne hakuna anaewajua. Na spora wa 5, sijui ndo anakamiliasha 4 hio. Mwanaume mchoyo yule sijapa kuona. Simkubali Dimond katika mambo yake ya umaluuni na kudhalilisha wanawake ila Dai anajua how to treat all his ladies.

Mmanyema mwingi yule ila anajali sanaa wanawake sanaa. Enzi za Wema mmanyema anavunja bank kila birthday ya bidada anampa magari ya nguvuuu. Hivi vimchepuko mara Dai kampangishiaa nyumba yule video queen, mara Mobeto kapew trip za south na ulaya. Yaani hakuachi mkavuu. Ukiwa mwanamke wa Dai unapata pata vitu.

Afu hajibaniiiiii yule mmanyemaa dunia nzima watajua Dai kakupendaa, atakupeleka mpaka kwa mama yake. Nisingekuwa above 40 ningejipeleka hahaa. Sasa Kiba mchoyooo anamjali mdogo wake na mama mtu na yule dada yao Zabibu. Sijawahi ona mwanaume mchoyo kama yule.

Alikuwa ana mkana Jojo. Hakuna kitu kibaya kama mwanaume kukukana mbele za watu. Amemkana Jojo zaidi hata ya mtume Petro alivomkana Yesu. Jojo yupo tu, holding strong. Hajawahi mpa kitu chochote Jojo. Raha ya kupewa upewe hadharani kama enzi Dai anampa Wema, unajiona kweli kijike, Kiba hajampa Jojo chochoteee sio birthday sio nini.

Events za Kiba jojo yupo kumsupport kama kwenye tuzo, anaenda peke yake jinaume lilivo na roho ngumu red carpet linapita peke yake, so selfish, linajopst peke yake, Jojo baadae anakuja kupost nae vipicha vyake. Hata hii ya juzi walimchunia she went maskini akakaa pembeni waka muignore ila she went.

Events za Jojo Kiba hatii mguuu. Kiba atakuwa mha si kwa roho mbaya ile. Insta Jojo anampromote Kiba watu wa vote, waangalie single, kiba hata kupost vibanio vya bae wake hata siku moja. Mwaka jana alizindua vibanio, no man to support her, Kama single lady Jojo maskinj. Kiba hajatia mguuu wala kupost.

Mpaka jana nasikiza interview maskini Jojo bado anampenda Kiba, i could see it and hear it from her. She deserves better. After everything still anampenda Kibaaa na ana msupport.

Mimi ni team Kiba damu, sio hapa nimemsifia Dai kidogo mdhani nime decamp, walaaaa ila kama advocate wa haki za wanawake Kiba apunguze kuwa Osokoni. Kwenye issue za mapenzi Dai takes the W, and Kiba please hold the big L.
Umachino ukizidi lazima kufomati windo.

Ila binti uko vizuri kiuandishi.................
 
Yaani ina maana JoJo yupo tayari kusilimishwa na Ali Kiba? Kuimba kote kwaya, kuwa kiongozi wa dini enzi hizo leo anafight kuwa dini tofauti? Kweli kupenda kubaya!
 
Nafikiri Kiba yuko sahihi Hawa watoto WA mjini sijui jokate sijui wema ni WA kuzibua tu chemba haraf muda ukifika unasepa hawana issue wala sio WA kujitia ufundi WA kuwapenda,Hawa wakat wanakupa wewe papuchi wakat huohuo macho Yao yanaangaza angaza wenye fuba nene wakiitwa wanaenda wanatoa uchi Kwa siri wanavuta fuba harafu kwenye insta wanaendelea kukupostpost wewe,Kiba mtoto WA kariakoo mjanja kitambo anawajua vizur ndio Hana time anawababua kimyakimya na Hana muda WA kuwanunulia magar Malaya WA kupita,umuonyeshe mahaba Jojo ili iwe nn na mtu kakalia mihogo kibao hapo alipo utamfanyia lipi jipya?Dai Kwa upande mwingine ni mtu anayeishi maisha aliyokuwa anayaota siku nyingi,kutokana na kuzinguliwa na mademu Kwa sababu ya muonekano na ukapuku alikuwa akitamani akifanikiwa awachape watoto wakaliwakali na ndio maana akiwapata anajitahidi kuwahandlehandle hv,Kiba kitambo hizi mambo sababu ya uhandsome wake na ili atengeneze mazingira ya kuwatafuna zaidi Kwa wingi huwa anapenda kuchapa kimyakimya ndio maana unaweza ukadhan Dai kachapa weng sababu yuko waz Lakin trust me Kiba kachapa wengi Sana ila msiri
 
Papuchi ya jojo imelegea sio mnato ndo maana Mond alidumu nae wiki mbili tu akajipigia na akasepa
 
Mm ni team kiba damu ila ulichoongea shost ni kweli tupu kwenye ukweli usemwe, JoJo hadhi yake sio ya wasanii au atakuwa hana bahati na mapenzi maana hata name mond hakuwahi kumueka wazi
jokate ndo ana mpenda mapenzi ya siri akishaachana na mtu ndo inakuja kusikika A.y n Thabiti walipita kimya kimya
 
Lini na wapi uliposikia wanawake wa Ali wakilalamika kuwa jamaa hawasaidii kipesa?!

Wanaume hawafanani sio kila mwanaume anapenda kuweka wazi mahusiano yake.

Huyo ndio Ali na alizaliwa namna ile ndio maana hata wanawake zake wa nyuma wote alihishi nao kama alivyoishi na Jokate.
 
Back
Top Bottom