Jokate Vs Ali Kiba Breakup. Sitakiiii kabisaaaa bwana kama Kiba, tena anipitie kushoto

Ahsante Niffah wangu....yaani ingekuwa amri yangu humu ndani ningeomba Jojo aachwe
My dear,Jojo ni star...hakuna namna anaweza kuacha kusemwa.
Izoee hii hali,vinginevyo utaumia tu.
 
kiba kalelewa kimaadili.komaa kaka kiba
Maadili gani unayoyazungumzia mkuu, mtu aliyelelewa kimaadili hawezi kuzaa nje ya ndoa tena watoto wanne wote wakiwa na mama tofauti,haya sio maadili hasa kwa mtoto wa kiislamu kama kiba na wengine kama yeye...!
 

Kumbe kbakuli kala ¤ ya ggy??
Kama kb ni team mende bac hata huyo
Kdot lazma atakua ka zibuliwa
 
Mkuu kuna jamaa mmoja hapa mtaani ni muuza sembe hatari na ana majengo kibao na magari hatari sema saizi anaishi kwa machale

Nakumbuka alimpa huyo jokate gari Fulani hivi kali mno azurure nayo auze sura mpaka jioni airudishe na sijui alipata senti chache akazibuliwa akasepeshwa

Alichofanya kiba ni kama mwanaume yeyote yule anapaswa kufanya hawa vicheche una wala ukishamaliza haja zako unawafanya kama vile tissue unawatupa..jokate sijui wema ni wastarehe tu lakini sio wa kuoa

Yani kiba amuoe muuza papuchi ase ningemshusha sana
 
Sahihi kabisa,huyu aliyeanzisha uzi kulalamika nae ndio walewale ndio maana analalamika.
 
Hawa wasanii wamemtia gundu JoJo ka karogwa vile. Jojo enzi za Chuo alikuwa classy namshangaa sikuhizi
Alikuwa classy kwenu wanafunzi msio na kitu njaa tupu mnasubiria boom ndio angalau mjitutumue,wenye pesa walikuwa wanampakata kama Kawa na maprof na wahazili
 
Huu uzi umenifanya nimuheshimu sana Kiba ,mimi napenda muziki wa Dimo zaidi ingawa sio mfuatiliaji kivile so sina timu lakini kwa ulivyosema safi sana Kiba anaishi poa sana.Ukiwa mtu wa kujionyesha onyesha tu kila sehemu upo mara umpost insta sijui nini mi naona ni ulimbukeni tu so chalii anavyofanya hivyo ni vizuri sana kwa hili respect to you Kiba.
 
Kiba anaonekana tu kua ni mbinafsi!!!
Ila jojo nae!! Ivi mapenzi ya hivi bado yapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…