Jokate Vs Ali Kiba Breakup. Sitakiiii kabisaaaa bwana kama Kiba, tena anipitie kushoto

Umerudi na umbea wako..! [emoji41] [emoji41]
 
Haaaaaa! Kiba kazidiii bwanaaa. Mwanaume mchoyo kama nini.

Hata kumu acknowledge Bae wako tu nayo inakuwa issue. Kupita red carpet na Jojo kwani sh. Ngapi.? Roho mbaya tu. Baraka ana mtreat Najma vizuri sanaaa. Ila Kiba ni jipu
Kuhonga kunaleta balaa by mwana FA
 
huyu Jojo nakumbuka alisoma mlimani kipindi namalizia shule yangu pale, net nikawa namuona anajihusisha na shughuli za kanisa Katoliki kwa upande wa vijana....

ila mambo yake hayaendani na some attributes amabzo ana compose
 
hahahahaha akanana happy belated birthday...
 
Kumbe kiba aliwekwa ndani kwa miaka 4 na madam rita...!!!Dah nimepata wivu wa ghafla😀😀😀
Sheikh kafaidi vinono vya shombeshombe la kizungu. Vile wanakula wakubwa tu km yule baba mwenye vitega uchumi vingi alie mwoa kabinti km mtoto ake.
 
Haaaaaa! Kiba kazidiii bwanaaa. Mwanaume mchoyo kama nini.

Hata kumu acknowledge Bae wako tu nayo inakuwa issue. Kupita red carpet na Jojo kwani sh. Ngapi.? Roho mbaya tu. Baraka ana mtreat Najma vizuri sanaaa. Ila Kiba ni jipu
Unajua makubaliano yao?
 
Kiba is private guy u guys have to learn that
Hakuna ulazima wa show offs ni utoto
 
Watu hawajui maana ya privacy kabisa
Tena bila hata aibu wanalalamika kiba kutowaonesha wanawake aliozaa naona
Very stupid arguments akuoneshe we nani?
Kiba is private guy thats why is highly respected sasa hao wazee wa show offwalimsaidia nn jokate si nao walipita au?
 
Bora kwako sio kwake/kwangu
 
Ninachokiona Mimi..Yale maneno ya Diamond kudai JoJo makombo ndio chanzo cha kiba kumtosa baada ya kumpata 7...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…