Jokate Vs Ali Kiba Breakup. Sitakiiii kabisaaaa bwana kama Kiba, tena anipitie kushoto

Sawa asante sana mkuu, kumbe mambo ya kimjini mjini
Yoyote aliyopo mjini anamjua jojo sasa ulivyouliza ni nani aiseee endelea kutumia jembe chakula kimfikie jojo azidi kuwa jojo.....lol
 
Mapenz hayanaga elim
Hata wenye degree wanalialia
Kama hawa kisa mapenz tu

Unaambiwa penda unapopendwa
Ukibug tu n hivo jojo kwa kiba
N kama amewekewa limbwata

ukiangalia sana wenye hawana
Elim ndo wanainjoy true love
Lakini ile ya kukanwa na mama mzaa chema hata mimi ningejipanga upya aisee.
 
Yule mngoni hamuwezi kiba , kiba ana kiburi cha asili na anadharau lakini madem sijui wanampapatikia nini huku wanaumizwa daily
 
Lakini ile ya kukanwa na mama mzaa chema hata mimi ningejipanga upya aisee.
It's true hyo kitu hata mm
Binafs imeniuma kukanwa
Mpaka na mama mzaa chema
Ajsee hapo n waz huna chako

Hata kama hawamtak hawakustahili
Kumfanyia hvo kwan n binadam
Mwenzao wangeyamaliza tu
Pemben co kwa kumdhalilisha
Mbele ya kadamnas ilee

Ila mama kutamka ndo
Ameharbu kabsaaa
 
Mwambieni huyo jojo aniPM..
Nashindwa kuelewa binti mrembo kama huyo anashobokea yule mshosha ng'ombe,

yaani kiba hana pause,mshambamshamba hivi ,halafu anavyoongea hakuna hata ile class ya mtu ambae yuko well groomed,ni mtindiga fulani aliebahatisha vihela vya kubadilisha mboga mara moja moja,
hebu @lara1 nipe wasapu ya huyu sosholite Jojo Nina maongezi nae,
 
Ingia insta mtakua na maongezi mubashara.
 
Bwana apewe sifa.

Jokate mimi binafsi namfahamuuu tulisoma kipindi kimoja. Hatukupishana sanaa miaka. Kwa wale mnaosema i am above 30 Mungu anawaona. Ila sooner or later ill be above 30 anyway na wote ndo tunaelekea huko. Jokate is 28, 29 au 30 kamil kwa kuangalia duru za miaka aliosoma.

Jokate is my role model, na Wema, na Kylyn. Why specifically ni watu wajanja wajanja mjini, kama mimi wanapenda mambo mazuri afu hawataki kifanya kazi. Just like me, they love success, living larger than life, making history ila they are not ready to toil for the sucess. Hawaishi kwa katibaaaa za ma bibi. Kwamba maisha na kuajiriwa NSSF, Kulipwa vilaki hivo na kuzeeka. They break the rules.

Jojo is not a good business lady but is ambitious. Kwa capital aliopewa na wachina, alitakiwa awe next only to Bakhresa, GSM, METL na Manji. Tatizo hakuanza ku hustle chini, ana bahati na maisha akipata wazo anapata fundings.

Mchango wa Jojo kwa kiba ni mkubwa sanaaaa, tena sanaa. Jojo is dream of many men hapa Tz. Watu kibao wanataka kumuoa Jojo leo kesho. Ila Jojo anapenda bad boys kama Dimond, Hasheem, Kiba. Wote watoto wa kitaaa, hustlers. Sasa hawa angetuachia sisi dada zao ndo tunawamudu wa uswazi wenzao.

Jojo kaanza na Kiba hata hana comeback ya kuelewekaaa. Ndo katoka kufungwa na madam Rita zaidi ya miaka sijui 4, haimbi, haingii studio, hafanyi show analelewa tu. Ndo maana madam sahivi team Mond, bado analilia penzi la Kiba.

Wengi tulisema Jojo ame downgrade, come on Kibaaaa! Mtoto wa Kariakooo. Nakumbuka mimi nilichamba ofisi nzima kuwa Jojo anayachezea maishaaa. Sasa Kiba ana nini, mwenye bahati habahatiki. Lakini her love was genuine. She was supportive of him always. Alijitoa akili. Hata kina Gigy mitako wakisema wameliwa ndogo na Kiba, she was still with him.

Kiba doesnt know how to treat his women. No wonder baby mamas wake wanne hakuna anaewajua. Na spora wa 5, sijui ndo anakamiliasha 4 hio. Mwanaume mchoyo yule sijapa kuona. Simkubali Dimond katika mambo yake ya umaluuni na kudhalilisha wanawake ila Dai anajua how to treat all his ladies. Mmanyema mwingi yule ila anajali sanaa wanawake sanaa. Enzi za Wema mmanyema anavunja bank kila birthday ya bidada anampa magari ya nguvuuu. Hivi vimchepuko mara Dai kampangishiaa nyumba yule video queen, mara Mobeto kapew trip za south na ulaya. Yaani hakuachi mkavuu. Ukiwa mwanamke wa Dai unapata pata vitu. Afu hajibaniiiiii yule mmanyemaa dunia nzima watajua Dai kakupendaa, atakupeleka mpaka kwa mama yake. Nisingekuwa above 40 ningejipeleka hahaa. Sasa Kiba mchoyooo anamjali mdogo wake na mama mtu na yule dada yao Zabibu. Sijawahi ona mwanaume mchoyo kama yule.

Alikuwa ana mkana Jojo. Hakuna kitu kibaya kama mwanaume kukukana mbele za watu. Amemkana Jojo zaidi hata ya mtume Petro alivomkana Yesu. Jojo yupo tu, holding strong. Hajawahi mpa kitu chochote Jojo. Raha ya kupewa upewe hadharani kama enzi Dai anampa Wema, unajiona kweli kijike, Kiba hajampa Jojo chochoteee sio birthday sio nini. Events za Kiba jojo yupo kumsupport kama kwenye tuzo, anaenda peke yake jinaume lilivo na roho ngumu red carpet linapita peke yake, so selfish, linajopst peke yake, Jojo baadae anakuja kupost nae vipicha vyake. Hata hii ya juzi walimchunia she went maskini akakaa pembeni waka muignore ila she went. Events za Jojo Kiba hatii mguuu. Kiba atakuwa mha si kwa roho mbaya ile. Insta Jojo anampromote Kiba watu wa vote, waangalie single, kiba hata kupost vibanio vya bae wake hata siku moja. Mwaka jana alizindua vibanio, no man to support her, Kama single lady Jojo maskinj. Kiba hajatia mguuu wala kupost.

Mpaka jana nasikiza interview maskini Jojo bado anampenda Kiba, i could see it and hear it from her. She deserves better. After everything still anampenda Kibaaa na ana msupport.

Mimi ni team Kiba damu, sio hapa nimemsifia Dai kidogo mdhani nime decamp, walaaaa ila kama advocate wa haki za wanawake Kiba apunguze kuwa Osokoni. Kwenye issue za mapenzi Dai takes the W, and Kiba please hold the big L.
Umetumwa na kei domo ausio sawa tumekuelewa nenda ukapakatwe na ww na domo
 
Kibakuli sio limbukeni wa K so Jojo anamuona wa kawaida tu
 
I am a he person, nasema ukweli kabisa kama Magu. Ali kiba ni mchoyo, mbinafsi sana, kanajidai sana na nadhani kana ujinga Fulani hivi (ushamba). Jokate ni miongoni mwa wanawake bora kabisa kuwahi kuwepo kwa kizazi hiki.

Yaani hata red carpet... eti kaanamuacha!
 
Lakini ile ya kukanwa na mama mzaa chema hata mimi ningejipanga upya aisee.
Mama hakumkana kiukweli nibkwamba hamjuwi kabisa kama ni mpenzi wa mwanae kikubwa yeye anafahamu jojo ni rafiki wa binti yake Zabibu...ili mama umtambuwa mkweo ni lazima taratibu zifuatwe za kutambulishwa ukweni huyo jojo...mpaka sasa hivi jojo na king wana zini tu na inavyoonekana mama hapendi mwanae azini thus why amekataa kuwa hatambuwi kama jojo ni mpenzi wa mwanaye nadhani utakuwa umenielewa mkuu...kama utakuwa na swali lolote njoo pm uniulize na ujisikiye huru kipenzi changu sky Eclat
 
Ally kiba kalelewa katika malezi ya tamaduni zetu za kiafrika ili mwanamke ajulikane upande wa mwanaume lazima ukamtambulishe kwa taratibu zinazohitaji vinginevyo wakwe hawatamtambuwa
 
Bwana apewe sifa.

Jokate mimi binafsi namfahamuuu tulisoma kipindi kimoja. Hatukupishana sanaa miaka. Kwa wale mnaosema i am above 30 Mungu anawaona. Ila sooner or later ill be above 30 anyway na wote ndo tunaelekea huko. Jokate is 28, 29 au 30 kamil kwa kuangalia duru za miaka aliosoma.

Jokate is my role model, na Wema, na Kylyn. Why specifically ni watu wajanja wajanja mjini, kama mimi wanapenda mambo mazuri afu hawataki kifanya kazi. Just like me, they love success, living larger than life, making history ila they are not ready to toil for the sucess. Hawaishi kwa katibaaaa za ma bibi. Kwamba maisha na kuajiriwa NSSF, Kulipwa vilaki hivo na kuzeeka. They break the rules.

Jojo is not a good business lady but is ambitious. Kwa capital aliopewa na wachina, alitakiwa awe next only to Bakhresa, GSM, METL na Manji. Tatizo hakuanza ku hustle chini, ana bahati na maisha akipata wazo anapata fundings.

Mchango wa Jojo kwa kiba ni mkubwa sanaaaa, tena sanaa. Jojo is dream of many men hapa Tz. Watu kibao wanataka kumuoa Jojo leo kesho. Ila Jojo anapenda bad boys kama Dimond, Hasheem, Kiba. Wote watoto wa kitaaa, hustlers. Sasa hawa angetuachia sisi dada zao ndo tunawamudu wa uswazi wenzao.

Jojo kaanza na Kiba hata hana comeback ya kuelewekaaa. Ndo katoka kufungwa na madam Rita zaidi ya miaka sijui 4, haimbi, haingii studio, hafanyi show analelewa tu. Ndo maana madam sahivi team Mond, bado analilia penzi la Kiba.

Wengi tulisema Jojo ame downgrade, come on Kibaaaa! Mtoto wa Kariakooo. Nakumbuka mimi nilichamba ofisi nzima kuwa Jojo anayachezea maishaaa. Sasa Kiba ana nini, mwenye bahati habahatiki. Lakini her love was genuine. She was supportive of him always. Alijitoa akili. Hata kina Gigy mitako wakisema wameliwa ndogo na Kiba, she was still with him.

Kiba doesnt know how to treat his women. No wonder baby mamas wake wanne hakuna anaewajua. Na spora wa 5, sijui ndo anakamiliasha 4 hio. Mwanaume mchoyo yule sijapa kuona. Simkubali Dimond katika mambo yake ya umaluuni na kudhalilisha wanawake ila Dai anajua how to treat all his ladies. Mmanyema mwingi yule ila anajali sanaa wanawake sanaa. Enzi za Wema mmanyema anavunja bank kila birthday ya bidada anampa magari ya nguvuuu. Hivi vimchepuko mara Dai kampangishiaa nyumba yule video queen, mara Mobeto kapew trip za south na ulaya. Yaani hakuachi mkavuu. Ukiwa mwanamke wa Dai unapata pata vitu. Afu hajibaniiiiii yule mmanyemaa dunia nzima watajua Dai kakupendaa, atakupeleka mpaka kwa mama yake. Nisingekuwa above 40 ningejipeleka hahaa. Sasa Kiba mchoyooo anamjali mdogo wake na mama mtu na yule dada yao Zabibu. Sijawahi ona mwanaume mchoyo kama yule.

Alikuwa ana mkana Jojo. Hakuna kitu kibaya kama mwanaume kukukana mbele za watu. Amemkana Jojo zaidi hata ya mtume Petro alivomkana Yesu. Jojo yupo tu, holding strong. Hajawahi mpa kitu chochote Jojo. Raha ya kupewa upewe hadharani kama enzi Dai anampa Wema, unajiona kweli kijike, Kiba hajampa Jojo chochoteee sio birthday sio nini. Events za Kiba jojo yupo kumsupport kama kwenye tuzo, anaenda peke yake jinaume lilivo na roho ngumu red carpet linapita peke yake, so selfish, linajopst peke yake, Jojo baadae anakuja kupost nae vipicha vyake. Hata hii ya juzi walimchunia she went maskini akakaa pembeni waka muignore ila she went. Events za Jojo Kiba hatii mguuu. Kiba atakuwa mha si kwa roho mbaya ile. Insta Jojo anampromote Kiba watu wa vote, waangalie single, kiba hata kupost vibanio vya bae wake hata siku moja. Mwaka jana alizindua vibanio, no man to support her, Kama single lady Jojo maskinj. Kiba hajatia mguuu wala kupost.

Mpaka jana nasikiza interview maskini Jojo bado anampenda Kiba, i could see it and hear it from her. She deserves better. After everything still anampenda Kibaaa na ana msupport.

Mimi ni team Kiba damu, sio hapa nimemsifia Dai kidogo mdhani nime decamp, walaaaa ila kama advocate wa haki za wanawake Kiba apunguze kuwa Osokoni. Kwenye issue za mapenzi Dai takes the W, and Kiba please hold the big L.
[emoji3] [emoji3] kiba anaishi kwa bi mkubwa akihonga sana ni maandazi au visheti
 
Mama hakumkana kiukweli nibkwamba hamjuwi kabisa kama ni mpenzi wa mwanae kikubwa yeye anafahamu jojo ni rafiki wa binti yake Zabibu...ili mama umtambuwa mkweo ni lazima taratibu zifuatwe za kutambulishwa ukweni huyo jojo...mpaka sasa hivi jojo na king wana zini tu na inavyoonekana mama hapendi mwanae azini thus why amekataa kuwa hatambuwi kama jojo ni mpenzi wa mwanaye nadhani utakuwa umenielewa mkuu...kama utakuwa na swali lolote njoo pm uniulize na ujisikiye huru kipenzi changu sky Eclat
Nimeelewa mkuu, asante sana.
 
Umaskini mbaya sana.tena wa mawazo.tunawaza viwanda wewe masaa 6 unapost juu ya papuchi ya jojo??
 
samahani... mi hapo ambapo madam ritha alimuweka ndani akawa anajipakulia tu ndo nimepaelewa sana .dogo alifaidi saana shenzi ..yani hii ndoto nimekua naiwaza saana.. lakin kabla sijalala jumla. lazima namimi nikalowanishe mishipa pale kwa madam.
 
Nahisi jojo much know nyingi...mengine ni confidential kwao
 
Back
Top Bottom