Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Hahaaaa ushauri wako mzuri ila hapo pa bashite umenichekesha sanaMmh kiba mpaka kwa sporah tena.basi wa chinichini. Maybe ndivyo alivyo hajui mum treat mwanamke.au ni mtu wa private hapendi kuonyesha relationship hadharani. Hao baby mama zake sijawahi kusikia ni kina nani. Jojo she deserve better ila asitafute watu maarufu. Akichukua haohao yatakuwa ndio hayo hayo.ni mzuri ila haijui thamani yake.anajua kujieleza.ila kiba interview zake unajua kabisa hapa kama Bashite hivi.