Jokate Vs Ali Kiba Breakup. Sitakiiii kabisaaaa bwana kama Kiba, tena anipitie kushoto

Umenikumbusha mbali mkuu, kumbe nawe ni Loyolite, "In all things to love and serve".
 
Hivi ni sporah yupi huyo anayezungumziwa?
Au huyu wa The sporah show?
 
Shida Jojo ndo aliemtongoza KibA, kwahiyo he don't care
 
Kwani kuna aliyekiri kuwa wako katika mapenzi kabla ya zogo lote hili???
 
Ndio tatizo lá kupenda usipo pendwa
Somtyms sie wanaume tnaingia kwenye mahusiano bila kupenda yan bas tuu kuonyesha uanaume wetu
**kwa ushauri tuu mwanamke usijirahis kwa mwanaume
nikukufata mwenyewe ujue nmependa kwel
***mfn**hatupendi kuwagonga ma bek3 lkn kule kupitapita na kanga1 inakua shughul bas ukshamgonga anajihs labda unampendaa kumbe kipozeo tuu
ambacho hamjui wanawake wote kwa Men ni Sawa
Naeza nkakuacha mda wowote yani
 
Ali kiba anachofany anaona ni sahh kw upande wake hat mm nampa suport usimuamin mwanamke haraka haraka kivle anajua nn anafany na muda ukifika tutaona watu wengne hawapend show off nikiwemo mm nakubaliana na kiba 100%
 
Nimetoa comment kwenye Uzi mkuu wala sikuquote popote lakini nikashangaa unanijia juu! Au ni KIBA nini?! Teh! Kausha
Sijakujia juu mkuu
The last time I check humu ni jamii forums so I comment on whatever the post I feel like doing so
Umetoa comment yako/mawazo yako na mm pia nimetoa yangu juu ya comment yako
Sasa shida nn?
 
tatizo mnapenda sana biashara ya mapicha. akikubaliwa after 2 days utasikia vedio zimevuja. sio wasanii wote wanapenda hayo mambo.
Anyway una bahati sana ya kusoma na masuperstar
 
Mm ni team kiba damu ila ulichoongea shost ni kweli tupu kwenye ukweli usemwe, JoJo hadhi yake sio ya wasanii au atakuwa hana bahati na mapenzi maana hata name mond hakuwahi kumueka wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…