abuu garcia
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 227
- 405
Aisee sizani kama kuna classmate wangu aliyeko hai ata kama wako hai sizani kama nitawakumbuka tena duh ni muda mrefu sana aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana vinachekesha wewe ndiye unayachukulia maisha serious saana mkuu.
Mbona group letu la sekondari halina hayo mambo ya kibwege.Haya magroup ya shule ni hovyo sana yn huko ndo kuna haters,majungu yanapikwa day and night mbaya zaidi baadhi wawe wanetoboa wengine bado bas hao waliotoboa wanaandamwa kijinga sana ,nilishajitoa kitambo tutakae vibe nae tutatafutana privately.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo kumbe.Jibu zuri
Ukilipata uniunge na mimiKiukweli magroup ya sekondari nimetoka ila natamani nilione group la shule ya msingi, nawamisi sana watu niliosoma nao shule ya msingi aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukilipata uniunge na mimi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unataka waliosoma enzi za nani?Hata hivyo nikikuta group lina watu waliosoma enzi za jakaya kama wewe nitaleft
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa hakuna cha maana asilimia kubwa ya watu wanajisikia, wanachati kwa kujuana nilijitoagaMm hayo magrp ya sekondari sijui nn nimeshatoka muda sn huwa hamna cha maana
Hamsaidiani kwenye misiba, magonjwa nk? Kama ni hivyo umefanya sahihi, kama walau mtu akifiwa mnapeana sapoti basi hukutakiwa kujitoa, unless iwe mtu hapendi kusaidiana.Mie ndio maana nilijitoa mgroup ya hivyo, hamna hata la maana ni ujinga ujinga tu.