Jokes za kwenye magroup ya whatsapp ziko lame sana.

Jokes za kwenye magroup ya whatsapp ziko lame sana.

Haya magroup ya shule ni hovyo sana yn huko ndo kuna haters,majungu yanapikwa day and night mbaya zaidi baadhi wawe wanetoboa wengine bado bas hao waliotoboa wanaandamwa kijinga sana ,nilishajitoa kitambo tutakae vibe nae tutatafutana privately.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona group letu la sekondari halina hayo mambo ya kibwege.
 
Mimi nilishajitoa yote lkn washkaji niko nao peace sana tu na tunatafutana sana tu kila baada ya muda ili tupige vyombo,msimamo wangu khs kutotaka kuungwa kwny magroup wameshauelewa nadhani.
 
Nipo kwenye magroup ya sekondari hadi chuo.

1. Group la O-level
2. Group la A-level(combination)
3. Group la Chuo (Kozi)

Group la Olevel kuna makada wa CCM(UVCCM), wakipost mambo ya siasa huwa tunawatolea uvivu sana hadi wanakuwa wapole.

Group la Chuo ndio muhimu sana kuliko hayo ya sekondari maana la chuo japo kuna jokes huwa tunajadili mambo kuhusu career yetu(mambo ya Afya) endapo mtu anataka kujua jambo fulani lililomtatiza.
 
Mie nilikuwa kwenye group letu la chuoni, ghafla siku hiyo mtu akarusha post, aliandika: HIVI WEWE..... (akitaja jina langu) UMEFANYA HILI GROUP NI MAKTABA, UMEKALIA KUSOMA TU, HATA SIKU MOJA HUTUMI CHOCHOTE HUMU KWENYE GROUP LETU......
Nilikasirika na kuleft muda huo huo, sipendagi ujinga.
 
Mie ndio maana nilijitoa mgroup ya hivyo, hamna hata la maana ni ujinga ujinga tu.
Hamsaidiani kwenye misiba, magonjwa nk? Kama ni hivyo umefanya sahihi, kama walau mtu akifiwa mnapeana sapoti basi hukutakiwa kujitoa, unless iwe mtu hapendi kusaidiana.
 
Back
Top Bottom