Jokes za kwenye magroup ya whatsapp ziko lame sana.

Jokes za kwenye magroup ya whatsapp ziko lame sana.

Eti mtu kapata mimba mnaambiwa mjiandae kumchangia....
Mi nilishawaambia sichangiii kuhusu mimba, birthday, ndoa na msiba labda afe baba mtu au mama mtu au mwanagroup akifa ndo nachanga ila siyo wengine huwa sichangii kizembezembe

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom