ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Hahaha, jitafutie uzee tu. Maneno yanaumba ujuwe!!Aah we mzee mwenzangu si unajua!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha, jitafutie uzee tu. Maneno yanaumba ujuwe!!Aah we mzee mwenzangu si unajua!!
Anything which has mass and can take place. That's Group la Whatsapp.Group la whatsapp ndio nn
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Eti mtu kapata mimba mnaambiwa mjiandae kumchangia....
Mi nilishawaambia sichangiii kuhusu mimba, birthday, ndoa na msiba labda afe baba mtu au mama mtu au mwanagroup akifa ndo nachanga ila siyo wengine huwa sichangii kizembezembe
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Zimeaota mizizi tayari, manake kichwani nyeusi za kuhesabu.
Basi subiri kikokotoo tu.
Tupange tu rafiki, ila sio za huko hahaha, you always my friend ujuwe. Basi tu unanitenga siku hizi.
Hahaha, jitafutie uzee tu. Maneno yanaumba ujuwe!!
Kweli hakuna, juzi tu nilikuwa kijana napiga magoli ya kufwa mtu, leo hii sichezi mechi dk. 90..Kwani unadhani kuna anaekuwa kijana milele?
Hivi kati ya mimi na wewe anayemtenga mwenzie naniTupange tu rafiki, ila sio za huko hahaha, you always my friend ujuwe. Basi tu unanitenga siku hizi.
Kweli hakuna, juzi tu nilikuwa kijana napiga magoli ya kufwa mtu, leo hii sichezi mechi dk. 90..
In short sipendi tu magroup hata yawe yanafuga tembo.
Aina ya kishazi kitegemezi.Group la whatsapp ndio nn
mi natafuta la wana wangu wa nursery !!Ukilipata uniunge na mimi