Joketi: Kuna mtu namtamani sana kimapenzi

Joketi: Kuna mtu namtamani sana kimapenzi

huyu mwanamke kadri siku zinavyozidi kwenda ndio nazidi kumuona wa ovyo kabisa.. ..heshima yote imeshuka
 
Bongo movie bongo lala-joh makini
wasanii wengi wana drums-dude

1:mtoto wa kimei
2;machache
3:ngongoti
4;mwana fatuma
5;dimondi
6;ruchi
7;huyu anayemtaka
8;mtu wa nguvu.

Mkuu ulikuwa unamaanisha nini labda katika lugha ya baradhani....??
 
Hapo kaweka mtego huyo...atanasa wengi sana.
 
Staa mrembo wa Bongo Movies na Bongo Fleva ambaye pia mwanamitindo na mjasiliamali Jokate Mwegelo 'jojo' au Kidoti amefunguka kuwa kuna mtu anamtamani sana kimapenzi na anamvutia kasi kumpata

Akizungumza kwenye show weekend "the playlist" ndani ya studio za Times FM, Kidoti, alisanuka hayo akihusisha ukweli huo na kile alichokiimba kwenye hit single yake "Leo leo" na Ice Prince

"Yah nyimbo inahusiana coz kuna mtu namtamani sana yani, ila akizingua tu nambwaga bado namuangalia" alisema Jojo.Hata hivyo Jocate hakuwa tayari kumtaja mtu huyo anayemvizia.
 
Aliyekuwa miss Tanzania nambari mbili Jocate Mwegelo “jojo” amefunguka kuwa kuna mtu anamtamani sana kimapenzi na anamvutia kasi kumpata

Kupitia bonge moja la show weekend “the playlist” Kidoti, alisanuka hayo akihusisha ukweli huo na kile alichokiimba kwenye hit single yake “Leo leo” na Ice Prince

“Yah nyimbo inahusiana coz kuna mtu namtamani sana yan namtamani sana kwa kweli lazima nitampata mtu

lakin hakusema ni nani huyo,tusubiri tuone ila hasije kuwa mme wa mtu

Huyu dada zamani nilikuwa namuona wa maana sana, alikuwa anaonekana yupo tofauti na kina Wema Sepetu, lakini kadiri anavozidi kuzeekq na ndivyo anazidi kukengeuka...

Hivi picha hiyo baba yake mzazi anaweza kuiangalia kwa jinsi alivyovaa:what:😎
 
Korongo la Hashim wengine wataliweza kweli
 
Back
Top Bottom