Jokha Kassim

Napenda ile nyimbo yake ya Tamba...bonge la nyimbo na mashairi mazuri.

Tambaaa my dear taamba,taaamba ya habiby taamba
Ni mzuri kiukweli japo sipendi taarabu huu naupenda kidogo
 
nifah mzee katulia mbona sasa hv
joha mi nampenda mdogo wake fatma
 
Last edited by a moderator:
nifah mzee katulia mbona sasa hv
joha mi nampenda mdogo wake fatma
 
Last edited by a moderator:
Duh! huyu sabaha salum yaani kama mwanajeshi anakufa na silaha yake hao vijana wenzie walifaidi ila ana dongo zuri hajachacha kivilee ukitupia mbilimbi sio mbaya unaweza kulumangia nguna.
 
vyombo hivi sabaha na zuhura shaabani duh wanazeeka na uzuri wao jicho la bidada yule huniacha hoi katika wimbo wake wa buzi mashaalah alitiririka uzuri.
 
hey mbona mnausema vibaya "mtamanishi" wa watu ambaye pia ni mke wa mtu?
 
Joha akipitia uzi huu ataenda kumeza kaa la moto. Sijaona shabiki wake zaidi ya mtoa mada.
 
Wewe mtoa mada inawezekana ulimuona ukiwa umeshakula viroba.....bado sijaona huo uzuri uliokushtua mpaka ukaja kumtungia thread huku kwa magreat thinker.......
Viroba vikiisha kichwani utajiona ulivyo mjinga...
 
Joha akipitia uzi huu ataenda kumeza kaa la moto. Sijaona shabiki wake zaidi ya mtoa mada.

mi nlikia shabiki wa joha full full ila toka alivyoanza kushindana na leyla na kuna siku aliniletea pozi travertine baaaas
aende zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…