Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Mimi nampenda sana Sabah Salum japo umri ushakwenda lakini she is beautful to me
Usijali,nafasi bado unayo maana anapenda sana vi serengeti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nampenda sana Sabah Salum japo umri ushakwenda lakini she is beautful to me
Napenda ile nyimbo yake ya Tamba...bonge la nyimbo na mashairi mazuri.
Humu naona nyota tu
Usijali,nafasi bado unayo maana anapenda sana vi serengeti.
Napenda ile nyimbo yake ya Tamba...bonge la nyimbo na mashairi mazuri.
Kuna washikaji zangu wanaoenda sana taarab waliniambia hiko kitu
Im not interested mi napenda tu anavyoimba kwa kweli
Si umeishaambiwa ile mali ya umma kama fedha za escrow
![]()
They say beauty is in the eyes of beholder.
![]()
They say beauty is in the eyes of beholder.
Joha akipitia uzi huu ataenda kumeza kaa la moto. Sijaona shabiki wake zaidi ya mtoa mada.