Joha akipitia uzi huu ataenda kumeza kaa la moto. Sijaona shabiki wake zaidi ya mtoa mada.
Tambaaa my dear taamba,taaamba ya habiby taamba
Ni mzuri kiukweli japo sipendi taarabu huu naupenda kidogo
They say beauty is in the eyes of beholder.
Napenda ile nyimbo yake ya Tamba...bonge la nyimbo na mashairi mazuri.
Na haya pia mnayalete humu na kuchangia?
Wewe mtoa mada inawezekana ulimuona ukiwa umeshakula viroba.....bado sijaona huo uzuri uliokushtua mpaka ukaja kumtungia thread huku kwa magreat thinker.......
Viroba vikiisha kichwani utajiona ulivyo mjinga...
Kawaida sana sijui angekua kama Leyla ingekuaje..
Acha ushabiki Leyla na ile michunusi dume atamfikia wapi Jokha,ataishia kumnanga tu Jokha wa watu lakininaye ataishia kuwa na michunusi dume na flat screen kuubwa inchi 50
Acha ushabiki Leyla na ile michunusi dume atamfikia wapi Jokha,ataishia kumnanga tu Jokha wa watu lakininaye ataishia kuwa na michunusi dume na flat screen kuubwa inchi 50
Hiyo michunusi alizaliwa nayo?
Acha kuongelea jambo ambalo hulijui wewe,karogwa na huyo huyo jokha.
Hutaki unaacha
Humu naona nyota tu