Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Joha akipitia uzi huu ataenda kumeza kaa la moto. Sijaona shabiki wake zaidi ya mtoa mada.
mi nlikua shabiki wa joha full full ila toka alivyoanza kushindana na leyla na kuna siku aliniletea pozi travertine baaaas
aende zake