joks kombilikeshen

bioto

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
1,261
Reaction score
2,097
***Hata kama una sura mbaya kuliko mimi, ukiwa na pesa wanawake watatafuta tu uzuri wowote toka kwako. Utasiki una alama nzuri za vidole (finger print) au kivuli chako kizuri...


***Nimeamua kuacha tabia ya kusikiliza mazungumzo ya watu ndani ya daladala. Leo nimejikuta nikiwafuata wamama wawili mpaka nyumbani kwao, kisa tu nisikie mwisho wa story waliyokuwa wanazungumza.


***Sio wanandoa wote wanaofanya mapenzi usiku wa kwanza katika ndoa yao. Wengine hubaki wakibishana chakula na vinywaji viliishaje?
*** Mwalimu: Nini kirefu cha AIDS
Mwanafunzi: Arsenal dies slowly


***Mwanamke hujulikana kuwa ameshakua anapoanza kuvaa bra, mwanaume hujulikana amekua anapoanza kuivua hiyo bra!


***Kubusiwa haimaainishi unapendwa. Unamkumbuka Yuda Iskariote?


***Wote tunapotumia hela nyingi kununulia nguo mpya, mmesahau kuwa wakati mzuri katika maisha yetu tunafurahia bila kuwa na nguo?


***There must be something about single girls with nose ring. I dont know if they are trying to smell engagement of marriage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…