ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Naskia wanaitwa Bongo movie....tehteehhMadem hao wa "jomoni" hua wana fake mno life
Mbona wanaume wa dar wanapenda sana kutumia neno jomon kwahiyo nao huwa wanataka dushe,wakisema HVO wanamaanisha wanataka dushe
Wanaume wa dar wanatumia sana MSCHEEEEEW. Yaani unachati na "dume" unashangaa limetumbukiza hilo neno.Mbona wanaume wa dar wanapenda sana kutumia neno jomon kwahiyo nao huwa wanataka dushe
[emoji23] kijana wanataka wampige pesa wakati helbs pia wanamdaiNaskia wanaitwa Bongo movie....tehteehh
Huyu kijana anachat na masinema...[emoji12] [emoji12]
masinemaNaskia wanaitwa Bongo movie....tehteehh
Huyu kijana anachat na masinema...[emoji12] [emoji12]
Mkuu, hivi hii avatar yangu iliwakosea nini....[emoji20] [emoji20] [emoji19] [emoji19]masinema
teh teh , yaan mkuu unanichekesha ukichanganya na hiyo avatar yako basi mbavu sina hapa
inaanzaje kutukosea na inatupa raha mkuu?Mkuu, hivi hii avatar yangu iliwakosea nini....[emoji20] [emoji20] [emoji19] [emoji19]