ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Napochati na mademu najikutaka kwenye sintofaham nikiona ametumia hili neno "jomoni" huwa najiuliza ndo kudeka au kitu gani maana hata nikilitamka linavyo sound halifanani na neno "jamani".acheni hizo yaani jamani unaandika jomoni si utahira huo!