"jomoni" maana yake Nini?

"jomoni" maana yake Nini?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Napochati na mademu najikutaka kwenye sintofaham nikiona ametumia hili neno "jomoni" huwa najiuliza ndo kudeka au kitu gani maana hata nikilitamka linavyo sound halifanani na neno "jamani".acheni hizo yaani jamani unaandika jomoni si utahira huo!
 
halafu unakuta mwanaume kwenye sms anaandika "P' instead of poa,,,daah nakereka sana
 
Back
Top Bottom