Jon Mrema: Kauli fupi juu ya Mazungumzo ya Chadema na CCM.

Ahsante

Sisi CCM tunasubiri mwenezi Shaka atupe taarifa inayojitosheleza
 
... ni jambo jema. Hivi Makene aliishiaga wapi? Ni muhimu umma hususan wanamageuzi wakafahamishwa kuhusu ukimya wa Makene.
 
Chadema wawe makini na CCM katika mazungumzo hayo. Sidhani kama CCM wana nia njema juu ya mazungumzo hayo.
 
Wekeni ajenda mezani . hizo chai za Ikulu kila siku hazitusaidii wananchi
1. Upatikanaji wa katiba mpya.
2. Tume huru ya uchaguzi,
3. Zuio la mikutano ya hadhara.
4. Makovu ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
5. Suala la wabunge 19 wa viti maalum.
6. Suala la ruzuku,
7. Usawa wa vyama vya siasa,
8. Watu waliochukuliwa hatua za kisheria kwa sababu za kisiasa.
9. Wakimbizi wa kisiasa waliokimbilia nje ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…