Jon Mrema: Kauli fupi juu ya Mazungumzo ya Chadema na CCM.

Jon Mrema: Kauli fupi juu ya Mazungumzo ya Chadema na CCM.

Kuna walio na wasiwasi na nafasi zao za ubunge walizopewa na mwendazake 2020, ambazo 2025 watazipoteza. Wanatamani Mbowe aendelee kuitwa GAIDI na ingebidi afungwe kabisa gerezani.
Hawa ndiyo wengi sana
 
10. Kuutambua uchaguzi mkuu uliopita kuwa ni halali
11. Mbowe na Lisu kuteuliwa kuwa wabunge wa kuteuliwa kuziba nafasi ya Balozi Polepole
12. Mchakato wa Chadema kujiunga na CCM na kuwa kitu kimoja kwa maslahi mapana ya nchi
1. Kauli ya Wakurugenzi mpinzani akishinda eneo lako utaadhibiwa ifutwe.
 
... ni jambo jema. Hivi Makene aliishiaga wapi? Ni muhimu umma hususan wanamageuzi wakafahamishwa kuhusu ukimya wa Makene.
Inasemekana mmoja wa COVID-19 ni mke wake (sikumbuki Jina lake).

Kutokana na kuwa na maslahi katika mgogoro huo yakiwa yamefungamanishwa na mkewe, ilibidi kukaa pembeni kutojihusisha na shughuli za chama..

Kama hivi ndivyo kweli ilivyo, basi huo ni ukomavu wa kisiasa ulioiva kwelikweli..!
 
... ni jambo jema. Hivi Makene aliishiaga wapi? Ni muhimu umma hususan wanamageuzi wakafahamishwa kuhusu ukimya wa Makene.
Hatimaye ilithibitika kuwa Makene siyo mchaga. So yaliyofuata dhidi yake nadhani unayaona sasa.
 
Indeed. Huyu jamaa Makene ni mmoja ya viongozi niliokuwa naona wana msimamo na wako makini sana. Alikuwa kama alama ya Chadema kwenye kutoa taarifa. Mimi nilikuwa sijui kama alishaenda upande wa pili (kama ni kweli). Ila hata kama ameenda sijamsikia (mimi binafsi) akibwabwaja maneno ya uzushi kuhusu Chadema.

Mfuatilie vizuri huko Twitter kaungana na kina kigogo kuwananga vijana wa Chadema.
CHADEMA haijawahi kusema lolote juu ya huyu mtu.

Yeye mwenyewe, Makene hajawahi kueleza lolote kuhusu uhusika wake CHADEMA

Quinine, tunahitaji taarifa zaidi juu ya hizo tweet za huyo jamaa huko Twitter ili kujiridhisha.
 
Back
Top Bottom