Jon Mrema: Kauli fupi juu ya Mazungumzo ya Chadema na CCM.

Jon Mrema: Kauli fupi juu ya Mazungumzo ya Chadema na CCM.

... very sad!
Indeed. Huyu jamaa Makene ni mmoja ya viongozi niliokuwa naona wana msimamo na wako makini sana. Alikuwa kama alama ya Chadema kwenye kutoa taarifa. Mimi nilikuwa sijui kama alishaenda upande wa pili (kama ni kweli). Ila hata kama ameenda sijamsikia (mimi binafsi) akibwabwaja maneno ya uzushi kuhusu Chadema.
 
Mfuatilie vizuri huko Twitter kaungana na kina kigogo kuwananga vijana wa Chadema.
 
Mfuatilie vizuri huko Twitter kaungana na kina kigogo kuwananga vijana wa Chadema.
Du! Asante kwa taarifa. Ila ukweli ni kwamba hata nchi kama Afrika Kusini walikuwepo wengi sana waliosaliti kabla ukombozi haujapatikana.
 
Tanzania, vyama vya siasa ni viwili tu, CCM na CHADEMA. Ndio wanakutana kujadili mstakabali wa uongozi wa Taifa.

Marekani: Republican na Democrats

UK: Labour na Conservatives

Wengine wasindikazaji.
Uko sahihi kabisa na hivi ndivyo hu set mskabali wa nchi zao.
 
Shaka amejaa mashaka, kapigwa na butwaa. Atasema nn?
Uko sahihi kabisa. Wana CCM wengi wamepigwa butwaa, hawakutegemea aina hii ya siasa. Wanatakiwa kuji format ili wajue wanakwenda vipi na hizi siasa za maridhiano.

Kuna walio na wasiwasi na nafasi zao za ubunge walizopewa na mwendazake 2020, ambazo 2025 watazipoteza. Wanatamani Mbowe aendelee kuitwa GAIDI na ingebidi afungwe kabisa gerezani.

Kesi ya ugaidi ya Mbowe ilikua na maana sana kwa baadhi ya Wana CCM ambayo sasa imeshindikana.
 
1. Upatikanaji wa katiba mpya.
2. Tume huru ya uchaguzi,
3. Zuio la mikutano ya hadhara.
4. Makovu ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
5. Suala la wabunge 19 wa viti maalum.
6. Suala la ruzuku,
7. Usawa wa vyama vya siasa,
8. Watu waliochukuliwa hatua za kisheria kwa sababu za kisiasa.
9. Wakimbizi wa kisiasa waliokimbilia nje ya nchi.
Agenda zimeshiba sana, hapa Samia akizifanyia kazi ameimaliza kabisa 'Legacy' ya mtangulizi wake.
 
Nia ya CCM ni kuilazimisha CDM iwaache covid 19 wabaki bungeni kwa maslahi yao
Na kwa hili CCM watafanikiwa. Wako tayari kukubali miafaka ya mambo mengine ili tu CDM wakubali hawa Covid 19 waendelee kuitwa "wabunge wa viti maalimu wa CHADEMA"

Kuwaondoa hawa Covid 19 bungeni, ni aibu kubwa sana kisiasa kwa CCM.

Tuendelee kusubiri.
 
Kwamba Chadema itengue maazimio ya baraza kuu?
Haitatengua, bali hiyo "kesi" iliyopelekwa mahakamani na hao Covid19 kimagumashi, itabaki hivyo hadi 2025. Pande zote mbili zitakubaliana jambo libaki hivyo.
 
Haitatengua, bali hiyo "kesi" iliyopelekwa mahakamani na hao Covid19 kimagumashi, itabaki hivyo hadi 2025. Pande zote mbili zitakubaliana jambo libaki hivyo.
Sijui kama itakuwa hivyo hawa watapigwa kwa technical knockout za mahakama.
 
Back
Top Bottom