macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Indeed. Huyu jamaa Makene ni mmoja ya viongozi niliokuwa naona wana msimamo na wako makini sana. Alikuwa kama alama ya Chadema kwenye kutoa taarifa. Mimi nilikuwa sijui kama alishaenda upande wa pili (kama ni kweli). Ila hata kama ameenda sijamsikia (mimi binafsi) akibwabwaja maneno ya uzushi kuhusu Chadema.... very sad!
Mkiwekewa agenda kabla hazijafanyiwa kazi huwa hamkawii kutoa majibu na suluhu zenu kabisa.Mtulie hivyohivyo.Ajenda ni siri
Mke wake si alinufaika na kuunga mkono juhudi.Makene alishaunga juhudi muda mrefu.
Mfuatilie vizuri huko Twitter kaungana na kina kigogo kuwananga vijana wa Chadema.Indeed. Huyu jamaa Makene ni mmoja ya viongozi niliokuwa naona wana msimamo na wako makini sana. Alikuwa kama alama ya Chadema kwenye kutoa taarifa. Mimi nilikuwa sijui kama alishaenda upande wa pili (kama ni kweli). Ila hata kama ameenda sijamsikia (mimi binafsi) akibwabwaja maneno ya uzushi kuhusu Chadema.
Du! Asante kwa taarifa. Ila ukweli ni kwamba hata nchi kama Afrika Kusini walikuwepo wengi sana waliosaliti kabla ukombozi haujapatikana.Mfuatilie vizuri huko Twitter kaungana na kina kigogo kuwananga vijana wa Chadema.
Nia ya CCM ni kuilazimisha CDM iwaache covid 19 wabaki bungeni kwa maslahi yao
Uko sahihi kabisa na hivi ndivyo hu set mskabali wa nchi zao.Tanzania, vyama vya siasa ni viwili tu, CCM na CHADEMA. Ndio wanakutana kujadili mstakabali wa uongozi wa Taifa.
Marekani: Republican na Democrats
UK: Labour na Conservatives
Wengine wasindikazaji.
Kwamba Chadema itengue maazimio ya baraza kuu?Nia ya CCM ni kuilazimisha CDM iwaache covid 19 wabaki bungeni kwa maslahi yao
Pokea taarifa hiyo Jo hiyo ndio yenyeweAhsante
Sisi CCM tunasubiri mwenezi Shaka atupe taarifa inayojitosheleza
YeaKwamba Chadema itengue maazimio ya baraza kuu?
Maazimio ya baraza kuu yatatenguliwa na mkutano mkuu?
Sukuma gang hawataki kusikia hii habariAhsante
Sisi CCM tunasubiri mwenezi Shaka atupe taarifa inayojitosheleza
Uko sahihi kabisa. Wana CCM wengi wamepigwa butwaa, hawakutegemea aina hii ya siasa. Wanatakiwa kuji format ili wajue wanakwenda vipi na hizi siasa za maridhiano.Shaka amejaa mashaka, kapigwa na butwaa. Atasema nn?
Agenda zimeshiba sana, hapa Samia akizifanyia kazi ameimaliza kabisa 'Legacy' ya mtangulizi wake.1. Upatikanaji wa katiba mpya.
2. Tume huru ya uchaguzi,
3. Zuio la mikutano ya hadhara.
4. Makovu ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
5. Suala la wabunge 19 wa viti maalum.
6. Suala la ruzuku,
7. Usawa wa vyama vya siasa,
8. Watu waliochukuliwa hatua za kisheria kwa sababu za kisiasa.
9. Wakimbizi wa kisiasa waliokimbilia nje ya nchi.
Na kwa hili CCM watafanikiwa. Wako tayari kukubali miafaka ya mambo mengine ili tu CDM wakubali hawa Covid 19 waendelee kuitwa "wabunge wa viti maalimu wa CHADEMA"Nia ya CCM ni kuilazimisha CDM iwaache covid 19 wabaki bungeni kwa maslahi yao
Haitatengua, bali hiyo "kesi" iliyopelekwa mahakamani na hao Covid19 kimagumashi, itabaki hivyo hadi 2025. Pande zote mbili zitakubaliana jambo libaki hivyo.Kwamba Chadema itengue maazimio ya baraza kuu?
Sijui kama itakuwa hivyo hawa watapigwa kwa technical knockout za mahakama.Haitatengua, bali hiyo "kesi" iliyopelekwa mahakamani na hao Covid19 kimagumashi, itabaki hivyo hadi 2025. Pande zote mbili zitakubaliana jambo libaki hivyo.
Hizo ndizo siasa za AfrikaMaazimio ya baraza kuu yatatenguliwa na mkutano mkuu?