Jonas Mkude kasimamishwa kwa utovu wa nidhamu

Jonas Mkude kasimamishwa kwa utovu wa nidhamu

Naunga mkono Wahuni kuwekwa pembeni.

Na tuache kutetea ujinga maana mpaka Wahusika wamemsimamisha lazima wamemshindwa. Kusema ni key Player kwani ndiye Mchezaji tangu Simba izaliwe?.

Kuwa team maana yake ni kuwa kitu kimoja, kama mmoja tabia yake mbovu akatafute timu inayosapoti tabia zake hizo.
 
Tuwe watulivu kwani Mhusika mkuu Amepewa Muda waweze kumsikiliza au Wasikilie pande zote mbili

Hivyo kuandika makosa yake siyo sawa, Itakuwa Kama wamehukumu tayari / wamkuta na Makosa
 
Simba nao siku hiz wanayumba sana ,mambo kama aya kwa kipind iki wangeyaacha kwanza wafocus ktk mechi muhimu,wanaweza kuona wanajenga kumbe wanabomoa angepigwa bench muda sahihi wangetoa taarifa sio sasa ata ukiisoma iyo taarifa wamerudiarudia tu
Ameandika manara [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naunga mkono Wahuni kuwekwa pembeni.

Na tuache kutetea ujinga maana mpaka Wahusika wamemsimamisha lazima wamemshindwa. Kusema ni key Player kwani ndiye Mchezaji tangu Simba izaliwe?.

Kuwa team maana yake ni kuwa kitu kimoja, kama mmoja tabia yake mbovu akatafute timu inayosapoti tabia zake hizo.
Mpira sio upadre
 
Simba tuna shida ya kiungo mkabaji, bado tunaetegemea kapigwa pini nyoni kaumia lwanga kibali bado ivyo mzamiru namba yake.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
IMG-20201228-WA0022.jpeg
 
Manguruwe bhana. Issue ndogo za beer 🍺 kadhaa na kisha kumpandia hewani CEO imekuwa kitu kikuuubwa. Watu wasinywe tu beer tuwili tutatu? Barbra asisomeshwe?
 
Huyu mwamba sijui ana shida gani kwa kweli,siku ile wanaenda zimbabwe wenzake wamevaa jezi juu na tracks chini wengine vibukta vyeusi sare yeye kapigwa yale mashati ya maua ya hawaii na kipensi cheupe
kule zimbabwe wanasali na balozi yeye hajafunga macho anakuna nungunungu zake kichwani
Tukirudi kwenye uchezaji Iam glad hatakuwepo kwa kweli,sijawahi muona mkude akifanya sliding tackle hata siku moja yeye ukabaji wake huwa ni kunyanyua mguu na kukita .
Sioni anything special kwa huyu bwana labda kuwe na watu kama kotei na Fraga wa kumsaidia ila akiwa na muzamiru siku hiyo utacheka maana hata pasi hajui kupiga
Ana kitete cha mguu,anakimbia kama ana majipu miguuni,pasi zake nyingi za nyuma hajui kupiga penetration passes kabisa
siku ya mechi ya tunisia nilifurahi sana fei toto alipoingizwa badala yake.Atulize kichwa ule usela mavi wake unakera sana
Daah nimecheka kinoma aisee wee jamaa unaangaliaga mpira kwa makini yaani umegusa kila kitu ninachokionaga kwa huyu Mkude.
Eti ana kitete miguuni. Hahaa
 
Daah nimecheka kinoma aisee wee jamaa unaangaliaga mpira kwa makini yaani umegusa kila kitu ninachokionaga kwa huyu mkude.
Eti ana kitete miguuni. Hahaa
Ndiyo kweli naliongeleaga kila siku ila popoma Genta huwa anaiwakia sana, tusubiri tuone siku hiyo kama Nyoni atakuwa hajapona kuna uwezekano Shomari Kapombe akacheza katikati, Ame Ibrahim akacheza namba mbili, wajitahidi Lwang apate kibali
 
Daah nimecheka kinoma aisee wee jamaa unaangaliaga mpira kwa makini yaani umegusa kila kitu ninachokionaga kwa huyu mkude.
Eti ana kitete miguuni. Hahaa
Mkude anajua kuliko viungo wakabaji wote bongo ukiwaunganisha
 
Inasemekana kuwa Mkude kamtongoza CEO wa Simba yule anaitwa barabara a.k.a mchepuko wa tapeli mo.


Ngoja Mkude aende Moro kuwatia misumari watamuheshimu na kumrudisha. 😂😂😂
 
Siku zote uwa naamini wanamichezo wa Tanzania wana vipaji halisi, ila kinachowaghalimu ni nidhamu ya kimaisha, ukikosa nidhamu ya kimaisha hata uwe una ubora wa kiasi gani uwezi kufanikiwa!!!
Tazama nchi ndogo kama burundi ina wachezaji waliofanikiwa sana kuliko sisi watanzania ni kwasababu warundi wana nidhamu sana ya kile wanachokifanya, pia hata majirani zetu Uganda, wachezaji wengi wa Uganda wamefanikiwa kutoka nje ya nchi na kufanya vyema kwasababu ya nidhamu, waganda kiukweli wana nidhamu sana. Sijui watanzania kilichotulemaza ni nn?!! Vijana wengi wa Tanzania hawana nidhamu kabisa!! Ili ndio tatizo kubwa.Mkude ni mfano wa aina ya vijana wengi walioko nchini.
Hii misemo ya wachezaji wa Tanzania wana vipaji halisi kwani nyie hamuoni kuwa wadhungu nao wana vipaji?

Tuache ujinga bwana kipaji bila uwekezaji hamna jipya tutalopata tutaishi na msemo wetu wa kuwa na vipaji
 
Back
Top Bottom