Jonas Mkude kasimamishwa kwa utovu wa nidhamu

Jonas Mkude kasimamishwa kwa utovu wa nidhamu

Hakuna taaluma isiyokuwa na nidhamu.Hata ubondia kama ukikosa nidhamu hata uwe na miguvu namna gani,hutofanikiwa
Watu wengi siku hizi wanajali mchango wa mchezaji zaidi kuliko tabia. Kama Barcelona wangejali tabia ya mchezaji wasingemsajili surelez, akina Baloteli wasingepata timu huko ulaya. Kilichomfikisha Mkude hapo alipo sio tabia yake bali kazi yake miguuni. Sioni sababu ya kuingilia maisha ya mtu. Mkude anajulikana miaka zaidi ya 10 iliyopita kuwa anavuta bhangi na anakunywa pombe kwanini simba waliendelea kumng'ang'ania? Mimi naona inawezekana mkude katembea na mke wa boss mmojawapo hapo simba lakini sio pombe wala bangi wala mademu yake.
 
Sasa hivi wachezaji wanamheshimu kinoma co baada ya hili tukio utaona wazee kagere, onyango na mzee wawa akipita tuu wanapiga magoti kabisa na kumsalimia shikamoo co
 
Sasa hivi wachezaji wanamheshimu kinoma co baada ya hili tukio utaona wazee kagere, onyango na mzee wawa akipita tuu wanapiga magoti kabisa na kumsalimia shikamoo co
Imeshavuja Utopolo ndiyo wanampa kibri Mkude na akimaliza mkataba wake wanamchukua,uzuri akisha piga ndumu na K Vant zake anaropoka. Alikuwa anataka M300, wameshushana mpaka M 150 na mshahara M18.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom