kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Hakuna taaluma isiyokuwa na nidhamu.Hata ubondia kama ukikosa nidhamu hata uwe na miguvu namna gani,hutofanikiwa
Mpira sio upadre
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira sio upadre
Watu wengi siku hizi wanajali mchango wa mchezaji zaidi kuliko tabia. Kama Barcelona wangejali tabia ya mchezaji wasingemsajili surelez, akina Baloteli wasingepata timu huko ulaya. Kilichomfikisha Mkude hapo alipo sio tabia yake bali kazi yake miguuni. Sioni sababu ya kuingilia maisha ya mtu. Mkude anajulikana miaka zaidi ya 10 iliyopita kuwa anavuta bhangi na anakunywa pombe kwanini simba waliendelea kumng'ang'ania? Mimi naona inawezekana mkude katembea na mke wa boss mmojawapo hapo simba lakini sio pombe wala bangi wala mademu yake.Hakuna taaluma isiyokuwa na nidhamu.Hata ubondia kama ukikosa nidhamu hata uwe na miguvu namna gani,hutofanikiwa
Bilashaka unaota ndoto wewebaada ya tarehe sita msijali tukishaingia makundi mtakuwa na mechi 3 za kushangaa hapa dsm ,mtanunua sana jezi kudadeki mamaeeeeee,ngoma hii hadi nusu fainali.WIDA WAR IN DAR
Imeshavuja Utopolo ndiyo wanampa kibri Mkude na akimaliza mkataba wake wanamchukua,uzuri akisha piga ndumu na K Vant zake anaropoka. Alikuwa anataka M300, wameshushana mpaka M 150 na mshahara M18.Sasa hivi wachezaji wanamheshimu kinoma co baada ya hili tukio utaona wazee kagere, onyango na mzee wawa akipita tuu wanapiga magoti kabisa na kumsalimia shikamoo co
Atamuoa kabisa na kumleta kwa wananchiImeshavuja Utopolo ndiyo wanampa kibri Mkude na akimaliza mkataba wake wanamchukua,uzuri akisha piga ndumu na K Vant zake anaropoka. Alikuwa anataka M300, wameshushana mpaka M 150 na mshahara M18.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app