Jonas Mkude kasimamishwa kwa utovu wa nidhamu

Naunga mkono Wahuni kuwekwa pembeni.

Na tuache kutetea ujinga maana mpaka Wahusika wamemsimamisha lazima wamemshindwa. Kusema ni key Player kwani ndiye Mchezaji tangu Simba izaliwe?.

Kuwa team maana yake ni kuwa kitu kimoja, kama mmoja tabia yake mbovu akatafute timu inayosapoti tabia zake hizo.
 
Tuwe watulivu kwani Mhusika mkuu Amepewa Muda waweze kumsikiliza au Wasikilie pande zote mbili

Hivyo kuandika makosa yake siyo sawa, Itakuwa Kama wamehukumu tayari / wamkuta na Makosa
 
Simba nao siku hiz wanayumba sana ,mambo kama aya kwa kipind iki wangeyaacha kwanza wafocus ktk mechi muhimu,wanaweza kuona wanajenga kumbe wanabomoa angepigwa bench muda sahihi wangetoa taarifa sio sasa ata ukiisoma iyo taarifa wamerudiarudia tu
Ameandika manara [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mpira sio upadre
 
Simba tuna shida ya kiungo mkabaji, bado tunaetegemea kapigwa pini nyoni kaumia lwanga kibali bado ivyo mzamiru namba yake.
 
Manguruwe bhana. Issue ndogo za beer 🍺 kadhaa na kisha kumpandia hewani CEO imekuwa kitu kikuuubwa. Watu wasinywe tu beer tuwili tutatu? Barbra asisomeshwe?
 
Daah nimecheka kinoma aisee wee jamaa unaangaliaga mpira kwa makini yaani umegusa kila kitu ninachokionaga kwa huyu Mkude.
Eti ana kitete miguuni. Hahaa
 
Daah nimecheka kinoma aisee wee jamaa unaangaliaga mpira kwa makini yaani umegusa kila kitu ninachokionaga kwa huyu mkude.
Eti ana kitete miguuni. Hahaa
Ndiyo kweli naliongeleaga kila siku ila popoma Genta huwa anaiwakia sana, tusubiri tuone siku hiyo kama Nyoni atakuwa hajapona kuna uwezekano Shomari Kapombe akacheza katikati, Ame Ibrahim akacheza namba mbili, wajitahidi Lwang apate kibali
 
Daah nimecheka kinoma aisee wee jamaa unaangaliaga mpira kwa makini yaani umegusa kila kitu ninachokionaga kwa huyu mkude.
Eti ana kitete miguuni. Hahaa
Mkude anajua kuliko viungo wakabaji wote bongo ukiwaunganisha
 
Inasemekana kuwa Mkude kamtongoza CEO wa Simba yule anaitwa barabara a.k.a mchepuko wa tapeli mo.


Ngoja Mkude aende Moro kuwatia misumari watamuheshimu na kumrudisha. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii misemo ya wachezaji wa Tanzania wana vipaji halisi kwani nyie hamuoni kuwa wadhungu nao wana vipaji?

Tuache ujinga bwana kipaji bila uwekezaji hamna jipya tutalopata tutaishi na msemo wetu wa kuwa na vipaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…