Jonas Mkude kasimamishwa kwa utovu wa nidhamu

Ndio mnavyodanganyana, ndio maana Wachezaji wenu hawafiki mbali.....nidhamu ni msingi wa kila kitu.

Kipaji na nidhamu ndio mafanikio, na bahati mbaya kati ya vipaji vinavyohitaji nidhamu mbele ni michezo.
Vipi Morrison aliyewatia vifike yeye nidhamu yake iko POA? Au tuamini kids la Mkude ni kubwa kiasi gani kuliko madharau anayowaonyesha huyo Andunje....mmefeli Sana.
 
Simba bila mkude uwanjani ni kipigo tu. Jamaa jembe sn
 
Simba wana website lakini haipo update, kuna viandishi uchwara wanaandamana navyo wakati wana afisa habari.
Kwa kifupi Simba ndio wanawapa kick waandishi wa utopolo
 
Mtu ana utovu wa nidhamu halafu unasema "Tunasikitika kuwaarifu, kama unasikitika kutuarifu simngemchunguza kimyakimya bila ya kutuarifu? huu ni upupu sawa na upupu mwingine michezoni. Tena anasema, "pamoja na mambo mengine...." ina maana kuwa mkude ana utovu wa nidhamu pamoja na upuuzi mwingine unaochangia asimamishwe. Huu ni upuuzi mwingine wa kibabaishaji kwenye soka. Yani mchezaji ana utovu wa nidhamu pamoja na mambo mengine.... Hayo mambo mengine ni yepi? kwanini ulimpa mkataba tena?

Hebu nyoosheni kiswahili mtuambie mkude ana mambo gani na utovu wa nidhamu gani uliosababisha aumbuliwe in public kabla tuhuma hazijadhibitishwa? Huku ni kumvunjia heshima mchezaji. Fanya uchunguzi baini tangaza.
 
alijamba kambini na hatakiwi,bye felicia
 
Kwani kumtongoza Babla ni kosa???? Mlidhani mkude hana kitombeo.?.
 
Yaani anakwenda Mazoezini akiwa kalewa konyagi?? Duh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…