Jonas Mkude: Kinachowaangamiza Simba ni kiburi, Jifunzeni kutokana na haya

Sasa Yanga si mfurahi ujio wake kwenu? Shida iko wapi hata mtu anasema simba ni wapumbavu.
 
Mkude anataka mil 80 nilivyosikia,Simba wanaona nyingi,Watampa tu,ila yule Mzimbabwe Majabvi angekuwepo,wasingempa.
 
ile mechi ya mwisho tuliyocheza na yanga mkude alikuwa nje muda gani, pamoja na kucheza pungufu bado yanga walidhibitiwa na goli la kusawazisha likapatikana.Mkude wamwache aende yanga pale simba wamepita viungo wengi mafundi kuanzia kina Nico Njohole,Ramadhani Lenny,Husein Marshal kina Hamisi Gaga ukiwataja kwa uchache sasa hivi ana kiburi sababu Majavubi ameondoka lakini hana kiwango anachodai alipwe pesa hiyo wamruhusu tu aende.
 
Sanchez na Ozil wamegoma kusaini mkataba mpya lakini huwezi kumsikia mzee Wenger anaongea upuuzi kama huo wa Hanspope.
 
Boya kweli wewe.
We hao wanaochezani mawe
 
cha ajabu angekuwa mchezaji wa nje amgeongezewa tu dau..viongoz lazima watambue vijana na wao wana malengo yao [pia na hata kama wameshndwana sio kiongoz unaenda kwe media na kuongea vile kama hansope kwan wachezaj wengne walioko kundin utawashusha morali maana watajua tu hii timu ukiomba kupandshiwa dau unakua adui......simba wachezaj watakua wanakimbia mpk lini?hata kama mmemlea sasa ndo mnataka asiwe na haki ya kulipwa vizuri?
 
Barcelona wamemuuza Sanchez,ambaye walimnunua kutoka Juve na timu zote hizo zikatwaa ubingwa.



Zilitwaa ubingwa kwa kuwa waliweza kureplace kile kilichoondoka klabuni....

Sasa simba anaondoka Tambwe unaleta Kiongera na Sserenkuma....! Kweli?

Hamko serious kabisa....


Mnadhani ubingwa ni wa kirahisi sana
 
Liverpool wamemuuza Torres na Suarez ndio sababu hawajachukua ubingwa kwa muda wa 25 years?Are you serious?


Usipanick sana ukamaliza povu lote.

Nimetaja baadhi ya wachezaji bora waliowahi kuwa nao ambao wangewezesha klabu kubeba ubingwa wa ligi...!

Najua watu kama akina Alonso na Bellamy waliondoka mapema wakiwa na iwezo mzuri pia...
 


Wao wanaona kama mchezaji akilelewa pale basi anastahili kulipwa pesa na malipo madogo kwa sababu bila klabu yeye asingeweza kujulikana....


..
 
Mwambie kuna mchizi mmoja alikuwa anaitwa Said Maulid SMG, alikuwa huko matopeni kama mnakumbuka baada ya kwenda Yanga mambo yake kila jicho liliona!


Mara nyingi huwa nasema kuwa Yanga klabu pekee ambayo kila mchezaji wa afrika mashariki ana ndoto ya kuichezea...


..
 
Ndio maana sifatilii hii ligi ya kijinga. Angalia mashabiki walivyo na akili fupi.
Endelea kushabikia Manchester United kwa kuwa sasa ipo kwenye form nzuri sana..


DDDDWDDDLDDDDLDDWDDW
 
Kwa ujinga wa klabu ya simba: ilikuwa tayari kumlipa Majabvi pesa kama hiyo mil80 ila kwa kuwa Mkude ni mtz basi hana hadhi ya kulipwa pesa hiyo...
 
Mkuu mkuu messi kalelewa na Barcelona ILA mkataba mpya anavyokomaa
 
Sanchez na Ozil wamegoma kusaini mkataba mpya lakini huwezi kumsikia mzee Wenger anaongea upuuzi kama huo wa Hanspope.
HP huwa anavuta bangi kabla hajapitia mikataba ya wachezaji wake...
 
Simba chuo cha Soka


USIISAHAU MTIBWA PIA...



WACHEZAJI WENGI SANA ULIO NAO SASA UNAWATOA HUKO
...


TUWASHUKURU MTIBWA SUGAR KWA KUZALISHA WACHEZAJI WENGI..



.. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Asepe tu simba IPO na itaendelea kuepo
Tumemkuza toka team ya watoto simba b sasa kama anona simba aimlipi asepe tu


Sio kweli aisee...

Mkude amekuzwa na wazazi (walezi) wake....

Kule B alipitia tu.!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…