Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boya kweli wewe.Inasemekana kwamba jitihada za Jonas Mkude kuongeza mkataba na klabu yake Simba SC upo kwenye utata mkubwa sana.
Inaonekana mkataba mpya wa Jonas Mkude unadai alipwe fedha zaidi ambazo amekuwa akilipwa kipindi aongezapo mkataba.
Hili suala la ongezeko la pesa za kusaini mkataba mpya limefanya viongozi wa simba sc kumuona kama mchezaji huyo ni msaliti na kuwa hana mapenzi na timu hiyo ambayo imemlea tangu ujana wake.
Hanspope alionekana kulalamika kwenye moja ya chombo cha Habari kuwa haiwezekani mchezaji waliomlea na kumkuza wao wenyewe atake kiasi kikubwa cha pesa ili aongeze mkataba.
"Kama ataki kucheza simba basi aende huko Yanga SC ambapo watamlipa hizo pesa... Mchezaji amejaa tamaa ya pesa sana" Alisema Hans Pope
.................................................................................
Simba ndio mnao haribu soka la Bongo. Mnasindwa kujua kuwa sasa ni wakati wa kubadilisha soka kutoka la Burudani kuwa la kulipwa..
Kumbukeni kuwa hawa vijana hawana kazi, wameamua kufanya soka kuwa ni kazi. Inapaswa kazi yao iheshimiwe kama kazi yako wewe inavyoheshimika....
Yule ni mchezaji wa kumtegemea sana kwenye kikosi chenu kwa sasa (zaidi ya kichuya) cha kushangaza mnamchukulia kama kapuku fulani hivi... Yaani iweje Mavugo alipwe pesa ndefu zaidi yake.. Ukizingatia yeye ndiyo mwenye kiwango zaidi ya huyo Mavugo.
Igeni waingereza pale. Ona salary ya Rooney! Kipindi anafanyiwa salary increment yeye ndiye alikuwa dependable player.
Huwa mnajifanya viburi sana. Eti ohh acha aende simba ni kubwa kuliko yeye. Hilo si sawa kabisa.
Inaonekana bado hamjajifunza mpaka leo.
1. Tangu Yondani asepe hamkuwahi pata mlinzi mwenye hadhi yake....
2. Tangu Tambwe asepe hamjawahi pata striker mwenye hadhi yake na ubora wake.
3. Tangu Messi "Singano" asepe hamjawahi pata winga wa kulia mwenye uwezo kama yeye (licha ya kuwa Kichuya anajaribu kuwasahaulisha....
4. Tangu Kessy asepe hamjafanikiwa kumpata mbadala wa huyu kijana. (Mnatudanganya kuwa Bokungu ameweza)
5. Tangu akina Barthez na Dida wasepe pale hamjawahi pata walinda milango wenye ubora sawa na wakudumu kwa kitambo kirefu....
Simba acheni kiburi cha kujiona kuwa mnauwezo wa kuwaacha wachezaji wenu muhimu na kujidai kuwa mna uwezo mzuri wa kuwa replace.
Barcelona wamemuuza Sanchez,ambaye walimnunua kutoka Juve na timu zote hizo zikatwaa ubingwa.
Liverpool wamemuuza Torres na Suarez ndio sababu hawajachukua ubingwa kwa muda wa 25 years?Are you serious?
Alafu kama mchezaji umemlea wewe basi unastahili kumjali kuliko yule aliyelewa na mtu mwingine kwani huyu ulomlea niwako, iweje sasa afe njaa wakati wewe ndo umemlea na iweje mgeni anufaike kwa matunda ya mzawa wakati mzawa anasota anahangaika kila kukicha kuilisha familia yake, SIMBA niwapumbavu tena wapumbavu sana. huwezi sema huyu tumemlea so asiombe hela kwahiyo wanataka acheze bure na asajiliwe bure wakati wanatumia hela ndefu kusajili wapumbavu wenzao! Simba nimapunguani sana!
Mwambie kuna mchizi mmoja alikuwa anaitwa Said Maulid SMG, alikuwa huko matopeni kama mnakumbuka baada ya kwenda Yanga mambo yake kila jicho liliona!
Kwa ujinga wa klabu ya simba: ilikuwa tayari kumlipa Majabvi pesa kama hiyo mil80 ila kwa kuwa Mkude ni mtz basi hana hadhi ya kulipwa pesa hiyo...ile mechi ya mwisho tuliyocheza na yanga mkude alikuwa nje muda gani, pamoja na kucheza pungufu bado yanga walidhibitiwa na goli la kusawazisha likapatikana.Mkude wamwache aende yanga pale simba wamepita viungo wengi mafundi kuanzia kina Nico Njohole,Ramadhani Lenny,Husein Marshal kina Hamisi Gaga ukiwataja kwa uchache sasa hivi ana kiburi sababu Majavubi ameondoka lakini hana kiwango anachodai alipwe pesa hiyo wamruhusu tu aende.
mkuu messi kalelewa na Barcelona ILA mkataba mpya anavyokomaaReal Madrid hajatwaa ubingwa tokea 2012 nae ameacha wachezaji?Mijitu mengine unashangaa wanafikiri kwa kutumia nini?Liverpool leo ni mwaka wa 25 hawajatwaa ubingwa.Cha ajabu nini?Yanga mlipokuwa na maamuzi ya pamoja mlifukuza timu nzima ikisheheni wachezaji wa maana. Mtaanza upya. Leo hamna ubavu wa kuacha mchezaji hata akidengua kwa sababu timu yenu leo inamilikiwa na mtu mmoja ukipinga unafutwa unachama.Kama wewe ni mwanachama pinga uone. Dr.Tiboroha alijaribu leo yupo Stendi United.