Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkodisho FC hakuna mnachokielewa.. kwani umeambiwa hakuongezewa? kapewa ml 60 hatakiYaani kwa kua mmemlea ndo msimpandishie dau basi kama ndo hivyo Messi asingefika popote kwenye mshahara wake pale Barcelona.....Mpira pesa bana mlipeni hela hiyo aongeze mkataba ili ahudumie familia
Mkuu... wewe mpira huujui bado sana ni kindaKwa ujinga wa klabu ya simba: ilikuwa tayari kumlipa Majabvi pesa kama hiyo mil80 ila kwa kuwa Mkude ni mtz basi hana hadhi ya kulipwa pesa hiyo...
Liverpool ina miaka 22 haijatwaa ubingwa na bado ipoMatunda ya unachokisema ni simba sc kushindwa kutwaa ubingwa wa ligi kwa miaka 5 mfululizo......
Mkiendelea kujifanya viburi mtasikiaga ubingwa tu kupitia kwenye Bomba!
Muacheni sasa huyo... Muone mtakavyo isoma namba...
Mlipeni mkude acheni janja janja nyie Moo fcMkodisho FC hakuna mnachokielewa.. kwani umeambiwa hakuongezewa? kapewa ml 60 hataki
Kwa mpira gani apewa 80 ilhali ni kuongeza tu mkataba
Mlimsajili Sserenkuma akiwa top scorer Kenya, akaja Bongo akatupia goli 5 tu kipindi chake chote!Garasa Chirwa mmempa milioni 200 na huyo Zulu hajacheza mwaka mzima inabidi ajengwe kwenye magazeti. Ujinga huo huuoni umekalia mambo ya Simba.
Ha ha ha... Simba SC sio Mkodisho FC ambaye amelipa ml 200 kwa Chirwa, mchezaji ambaye hata wa Ndondo Cup ana nafuuMlipeni mkude acheni janja janja nyie Moo fc
Ni kheri kusajili mkata upepo asiye cheza for almost a year.Garasa Chirwa mmempa milioni 200 na huyo Zulu hajacheza mwaka mzima inabidi ajengwe kwenye magazeti. Ujinga huo huuoni umekalia mambo ya Simba.
Ni bora Chirwa kuliko Mavugo mliemsajiri kwa mbwembwe zote mwisho wa siku kacheza mechi 15 kafunga 3 tuHa ha ha... Simba SC sio Mkodisho FC ambaye amelipa ml 200 kwa Chirwa, mchezaji ambaye hata wa Ndondo Cup ana nafuu
Suarez alifungiwa miezi mingapi!!!! Zulu alifungiwa miezi mingapi!!!!Garasa Chirwa mmempa milioni 200 na huyo Zulu hajacheza mwaka mzima inabidi ajengwe kwenye magazeti. Ujinga huo huuoni umekalia mambo ya Simba.
Kama haina uwezo wa kumlipa siaondoke... Mbona wenzake waliondoka kwani dunia ilisimama?Kutimiza majukumu gani hayo! Hamjui kuwa mpira ni kazi kama kazi nyingine...?
Kwa maana yako... Atimize majukumu ya kuchezea Simba hata kama haina uwezo(au haitaku kumlipa maslahi anayotaka mchezaji)? si ndio?