Jonas Mkude: Kinachowaangamiza Simba ni kiburi, Jifunzeni kutokana na haya

Jonas Mkude: Kinachowaangamiza Simba ni kiburi, Jifunzeni kutokana na haya

Garasa Chirwa mmempa milioni 200 na huyo Zulu hajacheza mwaka mzima inabidi ajengwe kwenye magazeti. Ujinga huo huuoni umekalia mambo ya Simba.
 
Unajua maana moja ya kukuzwa. Amelelewa na Simba na sasa hivi yupo na kambini na Simba. Mshipa utakutoka.
 
Yaani kwa kua mmemlea ndo msimpandishie dau basi kama ndo hivyo Messi asingefika popote kwenye mshahara wake pale Barcelona.....Mpira pesa bana mlipeni hela hiyo aongeze mkataba ili ahudumie familia
 
Yaani kwa kua mmemlea ndo msimpandishie dau basi kama ndo hivyo Messi asingefika popote kwenye mshahara wake pale Barcelona.....Mpira pesa bana mlipeni hela hiyo aongeze mkataba ili ahudumie familia
Mkodisho FC hakuna mnachokielewa.. kwani umeambiwa hakuongezewa? kapewa ml 60 hataki

Kwa mpira gani apewa 80 ilhali ni kuongeza tu mkataba
 
Kwa ujinga wa klabu ya simba: ilikuwa tayari kumlipa Majabvi pesa kama hiyo mil80 ila kwa kuwa Mkude ni mtz basi hana hadhi ya kulipwa pesa hiyo...
Mkuu... wewe mpira huujui bado sana ni kinda

Duniani kota mchezaji kutoka nje asilimia 90 hulipwa zaidi kuliko mzawa hata kama kiwango ni sawa,au zaidi, hivi unadhani Messi na Ronaldo wangekuwa kwao wangelipwa kiasi kile!?

Sasa kinachokushangaza kipi Majabvi kulipwa 80 na Mkude 60
yaonyesha hata mpira wenyewe hujacheza.. hivi Chirwa 200 ml kwa lipi..!?

Jiongeze...
 
Matunda ya unachokisema ni simba sc kushindwa kutwaa ubingwa wa ligi kwa miaka 5 mfululizo......

Mkiendelea kujifanya viburi mtasikiaga ubingwa tu kupitia kwenye Bomba!

Muacheni sasa huyo... Muone mtakavyo isoma namba...
Liverpool ina miaka 22 haijatwaa ubingwa na bado ipo
 
Mkodisho FC hakuna mnachokielewa.. kwani umeambiwa hakuongezewa? kapewa ml 60 hataki

Kwa mpira gani apewa 80 ilhali ni kuongeza tu mkataba
Mlipeni mkude acheni janja janja nyie Moo fc
 
Garasa Chirwa mmempa milioni 200 na huyo Zulu hajacheza mwaka mzima inabidi ajengwe kwenye magazeti. Ujinga huo huuoni umekalia mambo ya Simba.
Mlimsajili Sserenkuma akiwa top scorer Kenya, akaja Bongo akatupia goli 5 tu kipindi chake chote!

Chirwa hakuwa top scorer kwao ila mzunguko wa kwanza tu amefunga mabao zaidi ya Sserenkuma plus Kiongera waliyo funga kwa pamoja wakiwa Simba!
 
Mlipeni mkude acheni janja janja nyie Moo fc
Ha ha ha... Simba SC sio Mkodisho FC ambaye amelipa ml 200 kwa Chirwa, mchezaji ambaye hata wa Ndondo Cup ana nafuu
 
Garasa Chirwa mmempa milioni 200 na huyo Zulu hajacheza mwaka mzima inabidi ajengwe kwenye magazeti. Ujinga huo huuoni umekalia mambo ya Simba.
Ni kheri kusajili mkata upepo asiye cheza for almost a year.

Kuliki kusajili Top scorer kutok Kenya akaja kutupia bao 5 tu na kukimbia akilalamika ligi ngumu...

... [emoji23]
 
Mkuu
mkuu messi kalelewa na Barcelona ILA mkataba mpya anavyokomaa
Huyu Lionel Messi angekuwa Simba (kwa jinsi anavyosumbua kusaini mkataba) angelishakuwa anachezea Yanga SC muda huu.....

[emoji23]
 
Ha ha ha... Simba SC sio Mkodisho FC ambaye amelipa ml 200 kwa Chirwa, mchezaji ambaye hata wa Ndondo Cup ana nafuu
Ni bora Chirwa kuliko Mavugo mliemsajiri kwa mbwembwe zote mwisho wa siku kacheza mechi 15 kafunga 3 tu
 
Leo hakujatokea lolote Simba?Mpaka sasa hatujapata ripoti kutoka kwa kiherehere wetu. Ajabu hamna hata aliyepiga chafya?Obsession ni ugonjwa. Tafuta tiba mgongo wazi.
 
Hans Pope mlipe Mkude milioni 80? Halafu lile gorofa lake pale Iringa Mjini atalijenga na nini?
 
Garasa Chirwa mmempa milioni 200 na huyo Zulu hajacheza mwaka mzima inabidi ajengwe kwenye magazeti. Ujinga huo huuoni umekalia mambo ya Simba.
Suarez alifungiwa miezi mingapi!!!! Zulu alifungiwa miezi mingapi!!!!
 
Unamlinganisha Suarez na mambo ya kijinga. Angekuwa mchezaji wa maana angesajiliwa na timu zingine. Ni garasa tu kama huyo mwenzake.
 
Refa wenu leo katolewa kwenye listi ya marefa pamoja na msaidizi wake kwa madudu waliofanya ya kuwabeba. TFF imethibitisha kwamba alifanya makosa mengi ya kitaalamu ili kuwabeba. Na bado mkashindwa kushinda licha ya Simba kucheza pungufu kwa da kika 63.
 
Kutimiza majukumu gani hayo! Hamjui kuwa mpira ni kazi kama kazi nyingine...?

Kwa maana yako... Atimize majukumu ya kuchezea Simba hata kama haina uwezo(au haitaku kumlipa maslahi anayotaka mchezaji)? si ndio?
Kama haina uwezo wa kumlipa siaondoke... Mbona wenzake waliondoka kwani dunia ilisimama?
Simba timu kubwa sio ya kuyumbishwa na wachezaji wawili au watatu... Wanaoenda waendee.
 
Back
Top Bottom