Jonas Mkude, Okrah, Chama wameigharimu Yanga bilioni 1.3 ili tu kuwakera Simba

Jonas Mkude, Okrah, Chama wameigharimu Yanga bilioni 1.3 ili tu kuwakera Simba

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
yanga.jpg
yangaa.jpg
yangaaa.jpg

Mkude ada ya usajili na mshahara milioni 300, kacheza mechi tatu msimu mzima.

Okra Milioni 300 kafunga goli moja.

Chama milioni 600

Sina hela lakini nina akili!

===

Pia soma: Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia
 
Pesa ipo ya kumwaga ili tu kuwakomesha simba. Acha wamwage pesa ovyo [emoji23][emoji23][emoji23] bahati nzur waaosajiliwa wanafurahi mana wanaona utajiri huu hapa..
 
Kuna kadi yoyote ya uanachama wa yanga uliyonayo kusema Kuna ata mchango wako ulioutoa? Kama upo basi lazima uumie vinginevyo wivu wa kike unakusumbua
Niliahiriki kujenga jengo la yanga pale jangwani mjukuu wangu
 

Attachments

  • mwiko.jpg
    mwiko.jpg
    11.8 KB · Views: 1
Back
Top Bottom