Jonas Mkude, Okrah, Chama wameigharimu Yanga bilioni 1.3 ili tu kuwakera Simba

Jonas Mkude, Okrah, Chama wameigharimu Yanga bilioni 1.3 ili tu kuwakera Simba


Mkude ada ya usajili na mshahara milioni 300, kacheza mechi tatu msimu mzima.

Okra Milioni 300 kafunga goli moja.

Chama milioni 600

Sina hela lakini nina akili!

===

Pia soma: Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia
Wewe ni mhasibu wa Yanga! Au wakala wa hao wachezaji? Toa ushahidi ili tuamini hiki ulichokiandika hapa. Kinyume na hapo, wewe ni mzushi tu.
 
Masimba mnavyokuwa na thread za kindezi jamani, hii nayo ni achievement kwenu sio?

Mkutano mkuu ujao moja wapo ya achievement yenu itakuwa 'Mtani katumia bil 1.3 kwenye kutukera'.....
Uto lolote baya liwakute msimu huu😂
 
Pesa ipo ya kumwaga ili tu kuwakomesha simba. Acha wamwage pesa ovyo [emoji23][emoji23][emoji23] bahati nzur waaosajiliwa wanafurahi mana wanaona utajiri huu hapa..
Nikichogundua ENG .Hersi na wenzake wanakubali kuwa BRAND ya SIMBA inalipa..
Majina ya SIMBA yanalipa na tofauti ya UKUBWA wao. Si kweli kuwa YANGA na SIMBA wako mizani sawa...
Simba ilitangaza kumuacha SHOMARI KAPOMBRLE kabla ya masaa-24 YANGA ita msajili...
Yanga ilionyesha nia kumtema LOMALISA , lakini SIMBA hakuonyesha much interest... pengine brand anayotoka sio ya kupania....
Kwa utajiri wa MO akisema apanie hamkosi PACOME, Ku etc but the culture..
 
Back
Top Bottom