Wewe ni mhasibu wa Yanga! Au wakala wa hao wachezaji? Toa ushahidi ili tuamini hiki ulichokiandika hapa. Kinyume na hapo, wewe ni mzushi tu.
Mkude ada ya usajili na mshahara milioni 300, kacheza mechi tatu msimu mzima.
Okra Milioni 300 kafunga goli moja.
Chama milioni 600
Sina hela lakini nina akili!
===
Pia soma: Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia
Tulijenge palepale Kariakoo karibu na lile jengo lao. Binafsi nitachangia mifuko 20 ya saruji.Sanamu la mzee Rage lijengwe mkoa gan???
Uto lolote baya liwakute msimu huuπMasimba mnavyokuwa na thread za kindezi jamani, hii nayo ni achievement kwenu sio?
Mkutano mkuu ujao moja wapo ya achievement yenu itakuwa 'Mtani katumia bil 1.3 kwenye kutukera'.....
Dua ya Vale haimpati kambaku kamwe!Uto lolote baya liwakute msimu huuπ
Mbona hawajamchukua Shaban Chilunda?Kila mchezaji anaeachwa na Simba utopoloni ni lulu.
Wako kwenye mchakato wa kuunda timu ya vibabu.
Hahaha yule Mzee anakuambia hakujua kama Mashabiki wa Simba wanakunya Mavi makubwa vile.Alafu tumalizie la kaduguda na la yule mzee aliyekuwaga kiongozi wa Simba aliyesema mlienda kunya nyumbani kwake. Hilo tulichonge na chini ya Sanamu, tuweke picha yako ukikata gogo nyumbani kwake.
Ni katika kuthibitisha alichokisema Aden Rage.Simba huwa tunapenda kujifariji kwenye mambo mepesi sana.
Pesa za sajiri za Yanga sijui zinatuhusu nini?
Ndo ushangae na wewe mkuuSimba huwa tunapenda kujifariji kwenye mambo mepesi sana.
Pesa za sajiri za Yanga sijui zinatuhusu nini?
ππππAlafu tumalizie la kaduguda na la yule mzee aliyekuwaga kiongozi wa Simba aliyesema mlienda kunya nyumbani kwake. Hilo tulichonge na chini ya Sanamu, tuweke picha yako ukikata gogo nyumbani kwake.
Nikichogundua ENG .Hersi na wenzake wanakubali kuwa BRAND ya SIMBA inalipa..Pesa ipo ya kumwaga ili tu kuwakomesha simba. Acha wamwage pesa ovyo [emoji23][emoji23][emoji23] bahati nzur waaosajiliwa wanafurahi mana wanaona utajiri huu hapa..