Jonas Savimbi of UNITA

The wonders of a journey consist far more of such intangible experiences and unexpected situations than of factual things and events of material reality.
 



Is this him..?? When,and where..?? What went wrong and who changed him..?? When,where and why..??


The questions you ask, Paka Mweusi, evoke a long lasting suspicion on my mind: That Jonas Savimbi may have been a victim of White Manipulation of the human flaw of grandeur--the grandeur most likely to be found in the people susceptible to inferiority complex, e.g anyone with a hidden fear of ugliness.

A scholar in the area of African Politics should trace The Savimbi past to see where he got in contact with any White people who may have been working for an Intelligence Agency working against Angola--indeed, working against any greater interests of the African continent at the time of Savimbi's Youth and the years that followed.

WE should be pitying him for any contact he may have had with people who put him on the path to his death by manipulating his psyche.
 
Alikuwa mtu wa hovyo kama Foday Sanko...i.e mahayawani yaliyovaa sura za binadam.
 
Mmoja wa vibaraka wa magharibi, Mabeberu waliamua kumuua baada ya kumaliza biashara ya dhahabu
KAMA HUYU SHUJAA SAVIMBI ALIKUWA KIBARAKA A MAGHARIBI BASI NAYE eduardo DOS SANTOS alikuwa kibaraka wa mishetani ,manyama ya kikomunisti na lishetani lao kuu Urrusi!!

Huyu jamaa savimbi alisimama imara sana kupigania kuepo kwa makanisa na uhuru wa kuabudu ambao mikomunisti ya angola chini ya shetani lao NETO walitaka kuiga CUBA kubomoa christianiaty. Tanzania chini ya chama kimoja ilikuwa inamuita kibaraka kwa sababu aliwekea ngumu ukomunisti usiingize makucha yake ya mateso na ukandamizaji wa watu angola nzima. nampenda savimbi kwa sababu ya kupigania kanisa katoliki lisifanyiwe unyama unyama kama ilivyokuwa kwamakanisa katoliki nchini CUBA.

Papa paulo aliyafukuza majeshi ya CUBA nchini angola pale aliposema uhuru wa namibia lazima uende sambamba na majeshi ya CUBA yafukuzwe angola. maana alijua fika kama yangeachwa pale angola kanisa katoliki lingezidi kupata hali ngumu nchini angola. hivyo mimi kama mkatoliki wa nguvu, lazima nitamsifu sana Jonas Savimnbi.
 

Something is wrong with you.
 
Mmoja wa vibaraka wa magharibi, Mabeberu waliamua kumuua baada ya kumaliza biashara ya dhahabu
Afadhali ya Savimbi alikuwa mzalendo kuliko huyo Dos Santos ,raisi fisadi anayewaibia raia zake masikini ,kajilimbikizia mimali na kumfanya bintiye kuwa ni mwanamke tajiri mkubwa kuliko wote Africa
 
Something is wrong with you.
Yeah_for sure mkuu,..yaani iman yake ya kikatoliki ndio imemfanya asione hata unyama aliofanya huyu katili savimbi...anyway_rest in hell mr.savimbi.
 

Kwa hiyo Tanzania nayo ilikuwa inakandamiza ukatoliki kwa kuwa ilikuwa inatetea ukomunisti..?
 



Ndugu Tango73 umeshindwa kutafsiri vizuri mahusiano na matumizi ya kanisa katika mataifa ya nchi za Magharibi, na ni wapi mahusiano hayo yanaweza kuleta shida Afrika. Katika mataifa ya magharibu Kanisa limetumika mara nyingi, huku likijua-- ama vinginevyo, kwa malengo ya kisiasa; unatakiwa kumchambua Savimbi ama kidini, ama kisiasa. Savimbi alikuwa tatizo la kisiasa katika Afrika ya Wakati wake. Kwa hiyo unapomsifia Jonas Savimbi unatangaza ujinga ndugu yangu. Dini ilitumiwa vibaya kisiasa, na la wakati huo halina tofauti na kile ambacho Iran inafanya leo kujitengenezea mustakabali wake wa kisiasa kwa kutumia dini. It was evil in Angola, it is evil in Somalia, it is evil in Afghanistan, it is evil in Mbagala.



Mmoja wa vibaraka wa magharibi, Mabeberu waliamua kumuua baada ya kumaliza biashara ya dhahabu











Is this him..?? When,and where..?? What went wrong and who changed him..?? When,where and why..??
 



I like this, na vipi kuhusu hawa wenzetu wanaotaka kutumia dini katika uwepo wa Jamhuri ya Zanzibar..Najua unaweza kufikiri natoka nje ya mada lakini kuna maswali ambayo nimeuliza mwanzo kabisa kuhusu huyu Savimbi na hayajajibiwa bado...
 
I like this, na vipi kuhusu hawa wenzetu wanaotaka kutumia dini katika uwepo wa Jamhuri ya Zanzibar..Najua unaweza kufikiri natoka nje ya mada lakini kuna maswali ambayo nimeuliza mwanzo kabisa kuhusu huyu Savimbi na hayajajibiwa bado...

Tatizo la Zanzibar linasimama kwenye msingi wa ukosefu wa elimu ya kutosha kuhusu mambo kadhaa, makubwa yakiwa haya: moja, kujua ni mambo yepi yanaziunganisha dini duniani? zipo pande kule zanzibar ambazo zinatafuta mambo yanayozitenganisha dini na kupuuzia mambo yanayoziunganisha dini--hasa Ukristo na Uislam. hili ni muhimu sana kwa ajili ya mustakabali wa taifa letu (au hata taifa lingine) kwa sababu uelewa wa kutosha kuonesha kuwa yapo mambo ambayo yanaziunganisha dini hizi linazaaa kuvumiliana na hatimaye amani katika taifa. Pili, Kuna makundi kule zanzibar ambayo kwa vyovyote vile hayana uelewa wa faida za federalism. Hili tatizo lipo bara pia, nisiwe biased. Uelewa wa faida za federalism ungeweza kubadili hoja zinazotolewa kule kuelekea kwenye uvunjifu wa muungano.

Nitamani sana kufatsiri kijitabu fulani cha Kwame Nkrumah nilisoma 1982 kikiitwa 5 Ideas That Change the World (nadhani hii ndiyo ilikuwa title yake--it's been soo long). Kijitabu hiki wasome wazanzibari na wabara pia. Kuna chapter pale ndani inazungumzia faida za miungano ya mataifa, na kuna faida kubwa katika hili.

Mawazo ya Kuunda Jamhuri ya Kiislamu ya Watu za Unguja na Pemba ni upumbavu. Wenye mawazo haya washukuru tu Mungu wao sipo serikalini. Ningepeleka wote Kawetere wakasotee bariki huko.
 


Jonas Malheiro Savimbi
(August 3, 1934 – February 22, 2002) alikuwa ni kiongozi wa kisiasa na kivita huko Angola. Kiongozi huyu ndiye mwanzilishi wa UNITA, Chama ambacho kiliendesha vita ya msituni dhidi ya utawala wa kikoloni wa Kireno nchini Angola kati ya mwaka 1966 na 1974, na baadaye kuja kushirikiana na Chama kingine kikuu wakati huo cha MPLA katika kudai uhuru kati ya mwaka 1974 na 1975, na baada ya uhuru 1975 Chama hiki cha UNITA kilichoongozwa na huyu jamaa Jonas M. Savimbi, kiliamua kugeukia MPLA na kuanzisha tena vita vya msituni, hali iliyopelekea kifo chake mwaka 2002.
Huyu jamaa kwa sura, mavazi, tabia na matendo anafanana sana na kiongozi mmoja mwandamizi wa chama tawala, CCM hapa nchini. Naombeni mniambie huyo kiongozi ni nani hapa nchini? Naungana na William Lukuvi kutangaza zawadi nono ya Tsh. 100,000,000/= (Milioni Mia) kwa mwananchi atayewezesha kupatikana mtu huyu gaidi.
 

Attachments

  • Jonas Savimbi.jpg
    56.1 KB · Views: 2,638
Umemfananisha na kigogo mojawapo wa CCM kwa sababu amevaa mavazi ya Green Guard au kwa sababu amevaa shati la kijani? Humu JF Nchemba amefananishwa mara nyingi na Jonas Savimbi kwa sababu ya matendo yake ya .....na ujue Nchemba ni kiongozi mwandamizi wa CCM. It might be him.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…