Jonas Savimbi of UNITA

Jonas Savimbi of UNITA

Hivi... Seriously, what's Nchemba's motive behind this drastic change soon after his Arrival from China?
 
Ule wali wa pishori na frog fillets za kwenye eropleni zilimpa brain poisoning
Hivi... Seriously, what's Nchemba's motive behind this drastic change soon after his Arrival from China?
 
Kumfananisha Mwigulu na Savimbi ni kumpa sifa asizostahili.
Mwigulu ni empty shell, mtu asiyejua anachosimamia.
Afadhali mara mia ya Savimbi aliyejua msimamo wake na hakuuacha daima dumu hata kifo chake.

You are right, savimbi had purposes in his war... huyu wakwetu sijui hata kama anajua yeye ni nani

Mwigulu is a confused dude, sucked up into sifa za kijinga and has blood in his hands... Nimeisema hii amra nyingi sana na naamini hivyo; he is always associated with deaths na hata kauli zake siku zote huinclude ardhini na angani... haya maneno huwa hayaji tu, yana maana yake kwa wanaosoma vitabu (kauli nyingine kuashiria ndoto za msemaji)
 
Savimbi.jpg

Mapacha hao.
 
Kumfananisha Mwigulu na Savimbi ni kumpa sifa asizostahili.
Mwigulu ni empty shell, mtu asiyejua anachosimamia.
Afadhali mara mia ya Savimbi aliyejua msimamo wake na hakuuacha daima dumu hata kifo chake.
ni kweli kamanda ....labda ndevu tu ...lakini ni sawa na kichuguu na mt.Kilimanjaro!
 
Mwigulu Nchemba kila kitu wewe tu, wake za watu, kukandamiza upinzani, mauaji.... yaani unaboa kwelikweli
 
Last edited by a moderator:
Hiz dhaifu huon kama huyu Mwigulu kila raia jf anamdis, ataharibu hayo magamba yaliyobakia???
 
Kwa wanaojua historia ya huyu jamaa, hivi ni kweli alitelekezwa na nchi za magharibi ndiyo akakipata kilichompata
 
!
!
hii mada ni ndefu sana bana....halafu inna links kibao. Nitarudi baadae kuisoma nikipata wasaa.
Ila kwa ushauri siku nyingine fupisha
 
Lakini hii ni jadi ya watu hawa. Wanakufanyia vizuri wakiona kuna faida kwao. Ukipiga chini wanakukimbia. Then, you just became history.
 
Jamaa alipewa mpaka umakamu wa rais akakataa....
akaendelea kupigana porini (gorilla war) mwisho wa siku wale waliokuwa wanamfadhili wakamchoka nawakafanikisha mpango wa kuuwawa kwake. Alizikwa porini kama mzoga wa mmbwa......
 
Wakati si milele...!
 
Back
Top Bottom