Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka enzi za utoto nilikua napenda kujiitta majina ya watu hatari hatari kama Savimbi, Hitler, Mussolin, Bocassa, Osama kweli siku zinaenda R.I.P SAVIMBI.
Nasikia jamaa alikua anatafuna watu kama dagaa.
Jamaa alipewa mpaka umakamu wa rais akakataa....
akaendelea kupigana porini (gorilla war) mwisho wa siku wale waliokuwa wanamfadhili wakamchoka nawakafanikisha mpango wa kuuwawa kwake. Alizikwa porini kama mzoga wa mmbwa......

Mpaka leo ile image ya maiti ya Savimbi haijanitoka maana hadi chupi aliyokuwa amevaa ilionekana.. Nakumbuka jamaa alionyeshwa na CNN na BBC pamoja na media zingine..,ilikuwa ni bonge la BREAKING news.. Huyu jamaa alikufa kishujaa maana alikufa akipambana. Na ilikuwa kama ambush kutoka kwenye jeshi kubwa.. Savimbi hakufa kizembe.

Jamaa alikufa kwenye street war fight na alipigwa na bastora tena risasi moja tu chalii.... Hakufa kishujaa sanaaa
aliacha chombo cha maana kumbe....
Mpaka leo ile image ya maiti ya Savimbi haijanitoka maana hadi chupi aliyokuwa amevaa ilionekana.. Nakumbuka jamaa alionyeshwa na CNN na BBC pamoja na media zingine..,ilikuwa ni bonge la BREAKING news.. Huyu jamaa alikufa kishujaa maana alikufa akipambana. Na ilikuwa kama ambush kutoka kwenye jeshi kubwa.. Savimbi hakufa kizembe.
Mdomo unaumba sio ajabu ukarithi kiongozi wa Panya Road.Nakumbuka enzi za utoto nilikua napenda kujiitta majina ya watu hatari hatari kama Savimbi, Hitler, Mussolin, Bocassa, Osama kweli siku zinaenda R.I.P SAVIMBI.