Jonathan Mabihya, Ateuliwa tena kuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Singida , ila sio maadilifu kabisa
Inadaiwa Katibu wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro Jonathan Mabihya, amefanya tukio jingine jipya na baya kwa kushirikiana na katibu Mwenezi wa wilaya CCM Manispaa ya moshi Athuman Mfuchu kuchukua mamilioni ya fedha za kinamama
Taarifa kutoka ndani ya chama zinasema Mabihya akishirikiana na katibu mwenezi huyo ambaye ndiye aliyepewa mgahawa waliomnyang’anya aliyekuwa diwani wa kata ya Kaloleni Mwita,mabihya ameshindwa kulipa hali iliopelekea Vikundi Vingi Kunyimwa Mkopo Hivyo Ndani Ya Manispaa Ya Moshi ku
Ikumbukwe kwamba mwezi mmoja uliopita kupitia vyombo vya habari ziliripotiwa taarifa za...
-
IMG-20260927-WA0022.jpg
203.5 KB
· Views: 6
-
IMG-20260927-WA0023.jpg
116.9 KB
· Views: 8
-
IMG-20260927-WA0024.jpg
73.8 KB
· Views: 10