Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
Kwahiyo kwa mantiki hayo unataka mbowe mwenyekiti wa CHADEMA awe mwenyekiti wa maisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ndiyo kiboko yenuView attachment 1285492
Wao shida yao mboweJonh Momose Cheyo ni Mwenyekiti wa chama chake toka mwaka 1993 (miaka 26) lakini siyo CCM wala msajili mwenye shida naye.
Unadhani ni kwa nini?
View attachment 1285471
Two mistakes can not make one perfectJonh Momose Cheyo ni Mwenyekiti wa chama chake toka mwaka 1993 (miaka 26) lakini siyo CCM wala msajili mwenye shida naye.
Unadhani ni kwa nini?
View attachment 1285471
Kanda pendwa,Brother.Jonh Momose Cheyo ni Mwenyekiti wa chama chake toka mwaka 1993 (miaka 26) lakini siyo CCM wala msajili mwenye shida naye.
Unadhani ni kwa nini?
View attachment 1285471
Demokrasia ni kufuata katiba ya chama bora iwe inaruhusu ushindani. Lakini kwa ujumla Tanzania hata kama katiba inaruhusu ushindani kuna mizwenge chungu mbovu kuanzia CCM (wanasema BABALAO) hadi vivyama vidogo, achilia mbali CDM. Malalamiko tunayo yasikia ni kuwa Mwenyekiti haondoki madarakani bali ukiamua kula nae sahani moja wakati wa uchaguzi basi utakuwa na shida. Tuone mwakani kama kuna mtu ataamsha pua yake apeleke jina lake ili ashindanishwe na Magufuli. Tumemsikia Mzee Sumaye amesema yake na kuna waliomjibu, lakini je kuna aliemtishia aodoe jina au analia kura za hapana tu, ambacho ni kitu kizuri.hii yote ni kinyume na demokrasia! watu wa chadema msitumie uhalamu wa vyama vingine kuhalamisha udikteta chadema
tunahitaji siasa za kidemokrasia kuanzia chamani mpaka kwa level ya taifa
Mbowe wachana na uenyekiti kwa kisingizio cha akina cheyo na mrema,,,,hii ni dalili kuwa siku mkipewa ikulu mtaanza kulinganisha na marais wa uganda rwanda na burundi
huko chadema hakuna demokrasia kwa kitu cha mwenyekit!Demokrasia ni kufuata katiba ya chama bora iwe inaruhusu ushindani. Lakini kwa ujumla Tanzania hata kama katiba inaruhusu ushindani kuna mizwenge chungu mbovu kuanzia CCM (wanasema BABALAO) hadi vivyama vidogo, achilia mbali CDM. Malalamiko tunayo yasikia ni kuwa Mwenyekiti haondoki madarakani bali ukiamua kula nae sahani moja wakati wa uchaguzi basi utakuwa na shida. Tuone mwakani kama kuna mtu ataamsha pua yake apeleke jina lake ili ashindanishwe na Magufuli. Tumemsikia Mzee Sumaye amesema yake na kuna waliomjibu, lakini je kuna aliemtishia aodoe jina au analia kura za hapana tu, ambacho ni kitu kizuri.
Ukisoma kitu kisome kwa umakini, mimi nimesema "Demokrasia ni kufuata katiba ya chama bora iwe inaruhusu ushindani". Sasa hapo nimepindisha nini. Ushindani si kuchukua fomu tu, bali ni mchakato mzima pamoja na upigaji kura. Waastarabu hupiga kura za siri, ukinihakikishia kuwa CDM hawana kura za siri nitakubaliana nawe. Issue yangu sio Mbowe bali ni kupata mwenyekiti kwa kufuata katiba ya chama na utawala bora. Kama CDM hawafanyi hivyo basi hakuna Demokrasia. Najua CCM wanapotoka awamu ya kwanza ya Raisi kwenda awamu ya pili hawana ushindani na ukijaribu watakutoa tu, haya tumeyaona kwa uwazi zaidi Dodoma kwa kiti cha Raisi wa Zanzibar.huko chadema hakuna demokrasia kwa kitu cha mwenyekit!
hapo unajaribu kupindisha maneno tu ukweli unauju na utegemee mbowe atapitishwa kwa wajumbe kuulizwa wanaofiki mbowe aendelee kuwa kuwa kiongozi waseme ndio, wajumbe wanamuogopa mbowe wote watasema ndio
hapo kungekuwa na secret ballot wagombea wapambanie nafasi
leo tuko busy na kifo cha ali mufuruki na kesho gwaride la uhuru wa tanganyika na tanzania bara(!). kwanza bombardier bado. phd zilizoenda canada hazitoshi, inatakiwa reinforcement!Sasa iko wapi? Tunasikitika uongozi wa nchi kukosa kukaa Airport kuisubiri bombardier.
Mkuu kuna jibu jepesi hapo...Jonh Momose Cheyo ni Mwenyekiti wa chama chake toka mwaka 1993 (miaka 26) lakini siyo CCM wala msajili mwenye shida naye.
Unadhani ni kwa nini?
View attachment 1285471
Kwani waziri mkuu mstaafu kupigiwa kura za hapana haikuwa demokrasia?Ukisoma kitu kisome kwa umakini, mimi nimesema "Demokrasia ni kufuata katiba ya chama bora iwe inaruhusu ushindani". Sasa hapo nimepindisha nini. Ushindani si kuchukua fomu tu, bali ni mchakato mzima pamoja na upigaji kura. Waastarabu hupiga kura za siri, ukinihakikishia kuwa CDM hawana kura za siri nitakubaliana nawe. Issue yangu sio Mbowe bali ni kupata mwenyekiti kwa kufuata katiba ya chama na utawala bora. Kama CDM hawafanyi hivyo basi hakuna Demokrasia. Najua CCM wanapotoka awamu ya kwanza ya Raisi kwenda awamu ya pili hawana ushindani na ukijaribu watakutoa tu, haya tumeyaona kwa uwazi zaidi Dodoma kwa kiti cha Raisi wa Zanzibar.
Kama katiba yao inaruhusu hicho kitu basi hakuna shida lakini pia nafikiri ni utawala bora kwa yeyote apitae bila kupingwa kupigiwa kura ndani na nje ya vyama. Hii ingepunguza ushenzi tunaofanyiwa na walio madarakani.Kwani waziri mkuu mstaafu kupigiwa kura za hapana haikuwa demokrasia?
Kama za ufipa kwa rais kipenzi na jembe tanzania.
eti democrasia ni vipindi vya miaka mmoja au miwili au minne au mitano mitano ,oh hapana ,ni makubaliani ya kundi LA watu linaloamini pamoja(itikadi) na malengo yanayofanana namna likavyojiongoza ,lakini kwa kuwa wanadamu wanakuwa na mambo binafsi,tamaa na maono binafsi ni ambo jema kuwa katiba ambayo ni lazima ifuatwe, hivyo basis watu waweza kuwa tawala kifalme ambapo kiongozi ni lazima awe wa ukoo fulani na mzaliwa was namna gani ama mwanamume au mwanamke na ama mzaliwa was kwanza au was mwiisho na akisha chukua madaraka kitakachomtoa ni kifo( UK),wengine kipngozi anachaguliwa vipindi vikisha basis(USA) na wengine kiongozi kuchaguliwa bila ukomo alimradi anaowaongoza wanaamini ana uwezo wa kuwavusha na katiba inaruhusu(germany) sasa ubaya wa mh,Cheyo uko wapi ?KATIBA si inaruhusu?Jonh Momose Cheyo ni Mwenyekiti wa chama chake toka mwaka 1993 (miaka 26) lakini siyo CCM wala msajili mwenye shida naye.
Unadhani ni kwa nini?
View attachment 1285471
Tulidhani msajili anasheria moja kumbe kila chama kina sheria yake kwa Msajili ccm oyeeeTwo mistakes can not make one perfect
Usultan wa cheyo hauhalalishi udikteta wa mbowe