Jonijoo ni mtangazaji anaeongoza kuzipa media hasara. Ni mtangazaji mzigo

Chuga vijana wanawaza kulelewa na wazungu tu
 
Vipindi sivielewagi ni vile vya EATV ,kuna counter ya pombe pale wanaruka ruka ,mahojiano yasiyo na mpangilio,..hivi zile pombe ni matangazo tu ,au mtu akialikwa anapewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Friday night live maarufu kama FNL, Mkuu ndio vipindi vya sasa vinataka watu kama wale kina bill sepenga ata ukienda uko usafini utakutana na kina Lokole
 
Wewe chawa una chuki na watu wengi. Kuna uzi wako mwingine ulikuwa unasema FA ana roho mbaya. Tafadhali ndugu punguza chuki kwa vijana wenzako. Inawezekana Diamond anakulipa kwa kazi ovu ya kuchafua watu ila jua haina mwisho mzuri.
 
Watangazaji wengi hawana ubunifu, wana style moja za kutangaza hasa vipindi vya mchana.

Plus wimbi la wachambuzi feki wa mpira wa Simba na Yanga.

Natamani itokee misimu kama mitatu hizi timu za Kariakoo zifungwe tuwe na focus ya mambo mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…