Jonijoo ni mtangazaji anaeongoza kuzipa media hasara. Ni mtangazaji mzigo

Jonijoo ni mtangazaji anaeongoza kuzipa media hasara. Ni mtangazaji mzigo

Wewe chawa una chuki na watu wengi. Kuna uzi wako mwingine ulikuwa unasema FA ana roho mbaya. Tafadhali ndugu punguza chuki kwa vijana wenzako. Inawezekana Diamond anakulipa kwa kazi ovu ya kuchafua watu ila jua haina mwisho mzuri.
Huyu kajitoa kwa mondi [emoji1]

Naona hiphop tumepotezwa kabisa

Hatupewi airtime kabisa wabana pua

Wavaa vikuku mguuni wanatamba tu

Ova
 
Huyu kajitoa kwa mondi [emoji1]

Naona hiphop tumepotezwa kabisa

Hatupewi airtime kabisa wabana pua

Wavaa vikuku mguuni wanatamba tu

Ova
Kiukweli Mrangi tunalazimishwa tu kusikiliza kina Rayvanny na Harmonize ila hadi leo hii popote ikiachiwa Etat Major ya Extra Musica au Loi ya Koffi kunatokea msisimko wa ajabu. Yaanj hata ngoma za Twanga za zamani zina mizuka kuliko huu uchafu tunaoimbiwa na hawa wahuni. Na hizi tuzo zao feki zinazoishia kunipa tu hasira. Tuzo za Kora ndo pekee nazoamini zilikuwa sahihi.
 
Mwenye zamu ya kununua luku kaja na mshumaa

Aliepewa hela ya kununua sanda karudi kalewa

Wahuni hawacheat wanapendanga tu wanachokiona

Sikuhizi baba hamfokei tena dada wa kazi

Anaeuza supu ya pweza kakimbiwa na mkewe

Jonijo Nilikua namfatilia ila sijui sahivi yuko wapi na anafanya kipindi gani
We jamaa una akili sana
 
Mtangazaji yeyote anaye-FAKE na kujifanya swagga za unyamwezi, huwa hawadumu. Wanaboa kuwasikiliza.

Ingawa wapo watangazaji kwa uwezo na umakini wao, hawatumiki ipasavyo kwa kuwa kwenye media zisizo-serious. Mfano Gerald Hando. Yule anapaswa kuendesha kipindi makini cha kijamii, sio ule utumbo wao na kina kitenge.
 
Jamaa hana ushawishi. Utangazaji wa kuongoza kipindi zama hizi unataka ushawishi.

Maana kuna ma tik tokers na youtubers wameingia kwenye ushindani na watangazaji

Toa ushauri usimponde, Yuko vizuri sio Kila akifanyacho mtu huwavutia wote wapo watakao penda na kinyume chake
 
Naamini kijana havuti bangi skanka.
Inaonekana anaweza sana hizi media kwasababu ni content creator mzuri. Yaani ana idea za vipindi, ila kuvirun ndio hawezi. End of the day visingizio vyake huwa malipo, mara watangazaji wenzake. Uhuru wake. Ila ni normal. Huyu kashindwa kazi akiwa na mtulivu bdozen ambaye kwwangu namuona kama ndio role model wake. Kijana ana. Pozi sana kwenye kipindi.
 
Hayo ni mapito tu, bado hajajipata. Usishangae miaka mitano ijayo akawa juu zaidi
 
Wewe chawa una chuki na watu wengi. Kuna uzi wako mwingine ulikuwa unasema FA ana roho mbaya. Tafadhali ndugu punguza chuki kwa vijana wenzako. Inawezekana Diamond anakulipa kwa kazi ovu ya kuchafua watu ila jua haina mwisho mzuri.
Hata na wewe huna tofauti na yeye naona pia unachuki ndani yako
 
Back
Top Bottom