Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi
Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama iwape ruhusa wafungue kesi binafsi kwa ajili ya uzalendo walionao kuwadhibiti wanaotumia lugha ya matusi, uchochezi, ubaguzi yule mwarabu, huyu mchina au wale mzungu, dini katika mjadala wa bandari na kwanini anapokuja mwarabu ipo shida wakati wachina na wazungu wanaendesha miradi
Na kuongeza wanasheria hao wanaangalia pia uwezekano wa kuiomba mahakama imuamuru DPP mwendesha mashtaka mkuu wa serikali afungue mashtaka dhidi ya wale wanaotumia matusi
Wanasheria hao wanasema DP World ya Dubai haijawahi kuwa na matatizo au mgogoro na Falme za Kiarabu - UAE katika kuendesha miradi sehemu zingine za dunia kwanini hapa Tanzania wana hofu ...