Kapumpuli
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,040
- 2,674
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mashehe ubwabwa na sheria wapi na wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mashehe ubwabwa na sheria wapi na wapi?
Kama yule prof wa makinikiaHahaha
Hamna kitu hao
Huko watabakia yes yes no no
Ova
Sasa si afadhali ukilaza wangu ambao unautafuta kwa kuvizia kwenye neno lililokosekana kuliko wa kwako ambao una miss na kupuyanga kwenye hoja yote!Ha ha ha, kilaza wewe😂
je mkataba huu ulikuwa na vipengele gani na tukiutizama na huu wa DP World Dubai kuna kitu cha kujifunza namna ya kuingia mikataba ya kimataifa ?Tanganyika was a Member of the United Nations from 14 December 1961 and Zanzibar was a Member from 16 December 1963. Following the ratification on 26 April 1964 of Articles of Union between Tanganyika and Zanzibar, the United Republic of Tanganyika and Zanzibar continued as a single Member, changing its name to the United Republic of Tanzania on 1 November 1964.
Wakati Tanganyika inapata uhuru kulikuwa na mkataba wa Belbase (The Treaty of Belbase) ambao uliingiwa baina ya Tanganyika, Congo, Rwanda na Burundi kutumia bandari yetu milele (Infinitely) huku wakilipa paundi mbili (2) kwa mwaka
Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi
Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama iwape ruhusa wafungue kesi binafsi kwa ajili ya uzalendo walionao kuwadhibiti wanaotumia lugha ya matusi, uchochezi, ubaguzi yule mwarabu, huyu mchina au wale mzungu, dini katika mjadala wa bandari na kwanini anapokuja mwarabu ipo shida wakati wachina na wazungu wanaendesha miradi
Na kuongeza wanasheria hao wanaangalia pia uwezekano wa kuiomba mahakama imuamuru DPP mwendesha mashtaka mkuu wa serikali afungue mashtaka dhidi ya wale wanaotumia matusi
Wanasheria hao wanasema DP World ya Dubai haijawahi kuwa na matatizo au mgogoro na Falme za Kiarabu - UAE katika kuendesha miradi sehemu zingine za dunia kwanini hapa Tanzania wana hofu ...

🚶Kwani hiyo timu ni miongoni mwa waliopata fursa kutembelea Dp ports 🤔
Umesahau "to" kabla ya surround, ndio maana jamaa kakushikia bango.I prefer surround myself with people who reveal their imperfection, rather than people who fake their perfection.
Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi
Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama iwape ruhusa wafungue kesi binafsi kwa ajili ya uzalendo walionao kuwadhibiti wanaotumia lugha ya matusi, uchochezi, ubaguzi yule mwarabu, huyu mchina au wale mzungu, dini katika mjadala wa bandari na kwanini anapokuja mwarabu ipo shida wakati wachina na wazungu wanaendesha miradi
Na kuongeza wanasheria hao wanaangalia pia uwezekano wa kuiomba mahakama imuamuru DPP mwendesha mashtaka mkuu wa serikali afungue mashtaka dhidi ya wale wanaotumia matusi
Wanasheria hao wanasema DP World ya Dubai haijawahi kuwa na matatizo au mgogoro na Falme za Kiarabu - UAE katika kuendesha miradi sehemu zingine za dunia kwanini hapa Tanzania wana hofu ...
Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi
Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama iwape ruhusa wafungue kesi binafsi kwa ajili ya uzalendo walionao kuwadhibiti wanaotumia lugha ya matusi, uchochezi, ubaguzi yule mwarabu, huyu mchina au wale mzungu, dini katika mjadala wa bandari na kwanini anapokuja mwarabu ipo shida wakati wachina na wazungu wanaendesha miradi
Na kuongeza wanasheria hao wanaangalia pia uwezekano wa kuiomba mahakama imuamuru DPP mwendesha mashtaka mkuu wa serikali afungue mashtaka dhidi ya wale wanaotumia matusi
Wanasheria hao wanasema DP World ya Dubai haijawahi kuwa na matatizo au mgogoro na Falme za Kiarabu - UAE katika kuendesha miradi sehemu zingine za dunia kwanini hapa Tanzania wana hofu ...
Hii nchi yetu ina watu wapumbavu mno mno. Kuna watu wakiambiwe waburudishe waarabu kwa ile njia chafu watasema hewala kisa tu ni waarabu.Mbona wote ni al-Qaeda
Mbona mawakili wote 10 dini yao ni ya Kinyantuzu?
Ni kweli mkuu, ila nimeendelea kuiacha sababu haikubadilisha nilichokusudia kuwasilisha.Umesahau "to" kabla ya surround, ndio maana jamaa kakushikia bango.
Mnyakyusa akiongea Kihaya kibovu-bovu anaonekana kilaza au kichwa kikubwa kinachojaribu kujifunza lugha mbalimbali ?Lakini sio cha kulazimisha. Unaweza kuonekana kilaza bila ya kutegemea.
Upuuzi mtupu.Mnyakyusa akiongea Kihaya kibovu-bovu anaonekana kilaza au kichwa kikubwa kinachojaribu kujifunza lugha mbalimbali ?
BADALA YA KUKATA RUFAA DHIDI YA WALE WALIOTUSHINDA KESI ULAYA ILI TUSILIPE MABILIONI ETI WANAHANGAIKA NA WATANZANIA WENZAOJopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi