Jopo la Wanasheria 10 kuwaburuza kortini wanaotumia lugha ya matusi katika mjadala wa Bandari

Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi

Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama iwape ruhusa wafungue kesi binafsi kwa ajili ya uzalendo walionao kuwadhibiti wanaotumia lugha ya matusi, uchochezi, ubaguzi yule mwarabu, huyu mchina au wale mzungu, dini katika mjadala wa bandari na kwanini anapokuja mwarabu ipo shida wakati wachina na wazungu wanaendesha miradi

Na kuongeza wanasheria hao wanaangalia pia uwezekano wa kuiomba mahakama imuamuru DPP mwendesha mashtaka mkuu wa serikali afungue mashtaka dhidi ya wale wanaotumia matusi

Wanasheria hao wanasema DP World ya Dubai haijawahi kuwa na matatizo au mgogoro na Falme za Kiarabu - UAE katika kuendesha miradi sehemu zingine za dunia kwanini hapa Tanzania wana hofu ...

Wamelipwa na DP World.
 
Between the line ya hii clip inafikirisha sana (Majina)
 
Washamba wakubwa hawa, badala ya kwenda kutetea nchi kwenye mahakama za usuluhishi huko tunagaragazwa, wao wanaendeleza uchawa. Shame on your asses.
 
Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi

Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama iwape ruhusa wafungue kesi binafsi kwa ajili ya uzalendo walionao kuwadhibiti wanaotumia lugha ya matusi, uchochezi, ubaguzi yule mwarabu, huyu mchina au wale mzungu, dini katika mjadala wa bandari na kwanini anapokuja mwarabu ipo shida wakati wachina na wazungu wanaendesha miradi

Na kuongeza wanasheria hao wanaangalia pia uwezekano wa kuiomba mahakama imuamuru DPP mwendesha mashtaka mkuu wa serikali afungue mashtaka dhidi ya wale wanaotumia matusi

Wanasheria hao wanasema DP World ya Dubai haijawahi kuwa na matatizo au mgogoro na Falme za Kiarabu - UAE katika kuendesha miradi sehemu zingine za dunia kwanini hapa Tanzania wana hofu ...

Hawa watakuwa wamewehuka. Chama kinachowakilisha wanasheria wote,TLS, kimekwishatamka mkataba ni wa hovyo. Hawa wanasema wanaenda kufafanua mkataba wote!! Au wao siyo wanachama wa TLS?
 
Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi

Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama iwape ruhusa wafungue kesi binafsi kwa ajili ya uzalendo walionao kuwadhibiti wanaotumia lugha ya matusi, uchochezi, ubaguzi yule mwarabu, huyu mchina au wale mzungu, dini katika mjadala wa bandari na kwanini anapokuja mwarabu ipo shida wakati wachina na wazungu wanaendesha miradi

Na kuongeza wanasheria hao wanaangalia pia uwezekano wa kuiomba mahakama imuamuru DPP mwendesha mashtaka mkuu wa serikali afungue mashtaka dhidi ya wale wanaotumia matusi

Wanasheria hao wanasema DP World ya Dubai haijawahi kuwa na matatizo au mgogoro na Falme za Kiarabu - UAE katika kuendesha miradi sehemu zingine za dunia kwanini hapa Tanzania wana hofu ...

Ungesena mawakili waislamu, ungeeleweka
 
JOPO LA MAWAKILI WA KUJITEGEMEE WAKIFAFANUA KWA UREFU HOJA ZAO ZA KISHERIA NA MANUFAA YA KIUCHUMI

Dakika 24 za hoja za wakili msomi kiongozi Juma Nasoro, wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfatah Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani.

Jopo hilo lina mawakili wanaotambulika katika ngazi ya Mahakama Kuu na mahakama za chini. Na wanasisitiza kutumia elimu yao kufafanua masuala mbalimbali kuhusu uendeshaji na uendelezaji wa bandari ya Dar es Salaam.

Jopo hilo linasema wamepata kusikiliza kwa umakini hoja toka pande mbalimbali ikiwemo zile za maafisa wa serikali.

Jopo hilo linakwenda mbali na kujitetea kuelewa kwa ndani kuhusu mamlaka alizokasimiwa rais wa nchi kisheria na kikatiba.

Pia jopo hilo linasisitiza kuwa,mahakama, jamii na bunge jukumu lake kuu ni kuisaidia serikali kufanikisha na siyo kuikwamisha serikali katika mradi huu mkubwa mzito wenye manufaa kwa taifa

Jopo hilo linnaunga mkono utaratibu wa serikali kwenda bungeni kuomba ridhaa na kuruhusu mjadala mpana unaoendelea katika jamii

Jopo hilo la mawakili wasomi katika interview hii exclusive wanamulika maeneo waliyoita Upotoshwaji wa makusudi wa baadhi ya watu katika mjadala unaoendelea kwa takribani miezi mitatu sasa

Ukomo wa mkataba upo wanasisitiza mawakili wa jopo hili la wasomi kwa kuwa kuna kipengele cha kuwa kama kutakuwepi kutokuelewana huko ndipo utakuwa mwisho wa makubaliano na kwa maana hiyo mkataba huu siyo wa milele imesisitiza taarifa waliyokuwa wakiisoma mawakili wasomi

Uhalali wa Dubai kuingia mkataba, jambo hilo halikatazwi na sheria yaani International law na kwa kuwa Falme za Kiarabu UAE imekuwa kimya haijatoa tamko au kulalamika Dubai kuingia mkataba na Tanzania.

Mfano upo hapa karibu Zanzibar ilitaka kujiunga na Umoja wa Nchi za Kiislamu OIC na kama serikali ya Tanzania ilipotoa tamko Zanzibar ilizuiliwa kujiunga na OIC kwa kufuatana na sheria za kimataifa.

Kuhusu DP World kumiliki ardhi ni kwamba TPA ndiyo mmiliki wa ardhi hivyo DP World haitamiliki ardhi moja kwa moja bali kampuni hiyo ya Dubai itatumia mgongo wa TPA mamlaka ya Bandari za Tanzania hivyo DP World haitomiliki ardhi.

Faida za mradi huu ni za kiuchumi economic benefits mzunguko mkubwa wa fedha kwani ndani ya miaka 10 tani zaidi ya milioni 50 zitapita bandari ya Dar es Salaam.

Mawakili wasomi wanaongeza kusema DP World watawekeza katika maeneo ya Processing zone bandari kavu, ugavi na usafirishaji ....
Mi nduku yao kama wana bandari zao wakawape hao mabwana zao
 
Kwani mikataba walioingia uko inje inafanana na wa kwetu,au wa kwetu tumepigwa zaidi?
Hizo nchi zingine kama UK, ziliingia IGA kuifunga nchi kisheria ili baadaye idaiwe na kushindwa mahakama za kimataifa sababu ya mikataba mibovu?
 
Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi

Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama iwape ruhusa wafungue kesi binafsi kwa ajili ya uzalendo walionao kuwadhibiti wanaotumia lugha ya matusi, uchochezi, ubaguzi yule mwarabu, huyu mchina au wale mzungu, dini katika mjadala wa bandari na kwanini anapokuja mwarabu ipo shida wakati wachina na wazungu wanaendesha miradi

Na kuongeza wanasheria hao wanaangalia pia uwezekano wa kuiomba mahakama imuamuru DPP mwendesha mashtaka mkuu wa serikali afungue mashtaka dhidi ya wale wanaotumia matusi

Wanasheria hao wanasema DP World ya Dubai haijawahi kuwa na matatizo au mgogoro na Falme za Kiarabu - UAE katika kuendesha miradi sehemu zingine za dunia kwanini hapa Tanzania wana hofu ...

Mbona kama wamejipanga kidini zaidi. Majina yote ni Islam, Sasa sijui hii nchi wanaoina serikali inatukanwa ni waislam tu! Kwa kivuli Cha uzalendo nchi imegawika. Kwani mbona yalishasemwa sana kuhusu wazungu , wanaoulalamikia walikuwa wapi? Au ni huo ujenzi wa nyumba za ibada?
 
Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi

Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama iwape ruhusa wafungue kesi binafsi kwa ajili ya uzalendo walionao kuwadhibiti wanaotumia lugha ya matusi, uchochezi, ubaguzi yule mwarabu, huyu mchina au wale mzungu, dini katika mjadala wa bandari na kwanini anapokuja mwarabu ipo shida wakati wachina na wazungu wanaendesha miradi

Na kuongeza wanasheria hao wanaangalia pia uwezekano wa kuiomba mahakama imuamuru DPP mwendesha mashtaka mkuu wa serikali afungue mashtaka dhidi ya wale wanaotumia matusi

Wanasheria hao wanasema DP World ya Dubai haijawahi kuwa na matatizo au mgogoro na Falme za Kiarabu - UAE katika kuendesha miradi sehemu zingine za dunia kwanini hapa Tanzania wana hofu ...
Wangeungana kwenye kesi za mikataba za Kimataifa tungewaona wa maana, lakini huku wanaonyesha sura ya UDINI tu si zaidi ya hapo.
 
Back
Top Bottom