Jopo la Wanasheria 10 kuwaburuza kortini wanaotumia lugha ya matusi katika mjadala wa Bandari

Mjadala ulipoanza ulionekana kinachozungumziwa ni vipengele vya mkataba lakini ghafla katikati ya mjadala yakazuka mengine yote uliyoyaainisha Dini Utaifa Rangi and so on and so forth !!
Kwa sasa mjadala hauna nguvu tena kwa sababu watu wameshakubali kutawanywa na wametawanyika kweli kweli !! 😅😅🙏🙏
Sasa mjadala mkuu ni SIMBA DEI 🙏🙏😂😂
 
Waende tu mahakamani, kule watamkuta Prof Juma. Ndugu katika Imani.
 
M
Nawatufafanulie matusi ni yapi🤔.Je chawa nalo ni tusi,vipi je ikiwa chawa wa🍀 nalo ni tusi 🤔
 
[emoji12]
 
Tatizo suala la bandari linataka kufanywa la kidini. Watanzania tunaendeshwa Kama gari bovu.
 
Huyo Yahya aache njama zake za kukandamiza watu, mbona ndani ya bunge hutokea hayo mjadala ukinoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…