Siyo Waarabu tu dunia nzima wamekaa kimya wakiangalia Israel wakiuwa watoto zaidi ya 9000 huku wakishindwa kupambana na Hamas na kufanya mauaji ya holela.Waarabu ni watu wa ajabu sana
Yaani wanasubiri waungwe mkono na wazungu ila wakitoka hapo hapo wanawatukana wazungu
Africa kusini hiyo kesi wameipeleka ili kumkasirisha kaburu tu hawana namna
Kaburu ni swahiba wa israeli
Umri wako mdogo ndiyo maana umeandika hivyo kwa akili yako fupi unajua vita vimenza Oct 7 wakati Palestina wameenza kuteshwa toka mwaka 1948 sikiliza hii.Ujinga muuanze nyinyi ile october msinge shambulia israel mngekuwa mnahangaika mahakamani leo? mlitaka Israel abaki kimya tu?
>>>>>>>>>>>
Hao hawapendi haki isipokuwa wanapenda attention, Kama ni wapenda haki wangeanzia nyumbani Africa Kuna mengi yanahitaji kusemewa na wapo kimya. Binafsi nawaona Kama mbwa Koko tu.Alitakiwa na nini? Yaani wewe upo Kimara Bonyokwa unawapangia wapenda haki cha kufanya.
Sawa lakini hakipo kitakacho badilika, south africa wanamaliza hela za mawakili tuUmri wako mdogo ndiyo maana umeandika hivyo kwa akili yako fupi unajua vita vimenza Oct 7 wakati Palestina wameenza kuteshwa toka mwaka 1948 sikiliza hii.
Waziri wa Sheria nchini Afrika Kusini, Ronald Lamola akifungua dimba kwenye Mahakama ya Haki za Kimataifa akiwasilisha vithibitisho vya uhaini ambao umefanyika na taifa la Israeli pale Gaza.
Hebu fikiria kwa dakika moja tu, yaani taifa kutoka barani Afrika linaongoza mashambulizi ya kuitafuta haki katika Mahakama Kuu ya Kimataifa?
Dunia ipo macho huku mamilioni ya watu wakiwekeza fikra na akili zao kwenye kesi hii ambayo kuna kila dalili kwa taifa teule kupigwa kata funuwa.
Huu ni ushindi tosha sana kwa wapenda haki wote duniani
Wanakumbi.
Kutana na Jopo la Wanasheria Nguli kutoka Afrika Kusini ambao wameweka historia pale kwenye Mahakama ya Haki ya Kimataifa (ICJ) kwa kuishtaki Israeli juu ya udhalimu wanaoufanya pale Gaza.
• John Dugard
• Max Du Plessis
• Adila Hassim
• Tembeka Ngcukaitobi
• Tshidiso Ramogale
• Sarah Pudifin-Jones
• Lerato Zikalala
• Vaughan Lowe
• Blinne Ní Ghrálaigh
South Africa wameiheshimisha Africa, na ni aibu kwa mataifa yanayojinasibisha kutetea haki, So far kuna mataifa ya Ulaya tayari yamekataa kuunga mkono USA ama kuna vuguvugu la kuunga mkono South, Nchi zaidi ya 54 zimeshaiunga mkono South Africa.
View attachment 2870322
.
Haiwezekani dunia nzima unaa abudu mtu mmoja na watu wote wakae Kimya.Kiukweli kabisa S.Africa wamefanya jambo jema na Mungu awabariki
Lakini wamejitahidi hata kama ni kutafuta AttentionHao hawapendi haki isipokuwa wanapenda attention, Kama ni wapenda haki wangeanzia nyumbani Africa Kuna mengi yanahitaji kusemewa na wapo kimya. Binafsi nawaona Kama mbwa Koko tu.
Kufungua kesi hakujawahi kuwa ushujaa.Lakini wamejitahidi hata kama ni kutafuta Attention
Tena shobo dundo kweli kweliAlitakiwa na nini? Yaani wewe upo Kimara Bonyokwa unawapangia wapenda haki cha kufanya.
Bali?Kufungua kesi hakujawahi kuwa ushujaa.
For your information wameidharaulisha AfricaWanakumbi.
Kutana na Jopo la Wanasheria Nguli kutoka Afrika Kusini ambao wameweka historia pale kwenye Mahakama ya Haki ya Kimataifa (ICJ) kwa kuishtaki Israeli juu ya udhalimu wanaoufanya pale Gaza.
• John Dugard
• Max Du Plessis
• Adila Hassim
• Tembeka Ngcukaitobi
• Tshidiso Ramogale
• Sarah Pudifin-Jones
• Lerato Zikalala
• Vaughan Lowe
• Blinne Ní Ghrálaigh
South Africa wameiheshimisha Africa, na ni aibu kwa mataifa yanayojinasibisha kutetea haki, So far kuna mataifa ya Ulaya tayari yamekataa kuunga mkono USA ama kuna vuguvugu la kuunga mkono South, Nchi zaidi ya 54 zimeshaiunga mkono South Africa.
View attachment 2870322